win-one
JF-Expert Member
- May 28, 2024
- 10,329
- 35,086
bado sijapitašwe bintie hujanitag kwanini?
bado sijapitašwe bintie hujanitag kwanini?
Maringo!Maringo
NdioMaringo!
nahisi ningekua karibu angenibamiza šššNimemwambia maaana naona kili zinampeleka kusiko takiwa!š
Yap, kali sana š„šumeipenda?
Jpili mbali kote huko? š¹
Em weka basi tuone wakaka wazuri mlivyobarikiwa buana..!!
Kwakweli! Haya pita mi nijilaze kwa amani mamaake!nahisi ningekua karibu angenibamiza ššš
Ila nimegundua unadeka sana šššš.nahisi ningekua karibu angenibamiza ššš
weee sema kweliš„“bado sijapitaš
Mshana kumbe nae alipita liveš¤£. No naked no emoj no hidden faceš . Aisee sijabahatika kumuona. Ila ndio vizuri wadau wengine wakafanya hivo Ili tufahamiane.Tunataka ibaki ili tuje kuona mishepu š¹š¹
Yani mimi kila nikiingia hata km zimefutwa nazikuta zote..!!
Leo nimeona mpk ya ankal Mshana Jr kala kyuti na bado naiona mpk sasa..!! š¹š¹
š¹š¹š¹ Wa huko hawataki kazi za hovyo..!!Karibu sana, nipo kwa waha huku, naila migebuka..
Shida sijaona wauza madafu, wakopeshaji ma wauza maji...
Wale wa dar wametokea wapi šš¤£
Ili kiwe nnUsifute
ššššš mi napenda kuongeleshwa kwa upole kabisa,,, Tresor Mandala ndo kanifokea ile mchana šIla nimegundua unadeka sana šššš.
Haya nan mwingine kakufokea leo tukamsemee kwa Baba na Mama?.
Nataka nikupasie wewe š¹š¤£šš
Huyu anataka aliwe nawe huna meno, mpasie kijana wangu intelligent businesman aipige
Yani chukuchuku na suti yake km anaenda kuwasilisha bajeti ya jukwaa la chitchat š¹š¹š¹Mshana kumbe nae alipita liveš¤£. No naked no emoj no hidden faceš . Aisee sijabahatika kumuona. Ila ndio vizuri wadau wengine wakafanya hivo Ili tufahamiane.
DuhDaah! Unanisingizia ndugu yangu.
Mm ni mgeni na Tayana-wog alishatoa maelekezo. Nikajua ndio sheria ya huu mtaa šššš.
basi yeye ndio kaniponza aisee.
nimepita saiviweee sema kweliš„“
Aww mtt mzuri kumbe umenenepq hivi?
Oyaaš