Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 28,584
- 83,126
Si ndio😅Khaaaa tena????
Si ndio😅Khaaaa tena????
So cuteee ndo maana smart ame smartikaLol nna mpya basi kipenzi! Leo nliweka hii nakusubiri weyee
Mweh filter tu mamiloo !! Hahahahahh eti kusmartika lolSo cuteee ndo maana smart ame smartika
Nione hapo juu nafutaMweh filter tu mamiloo !! Hahahahahh eti kusmartika lol
Hivyo vya caunta m-pesa yangu inapokeaYan humu ukipepesa macho kidogo tu ukirudi unakuta manyoya tu
Seran Tayana-wog ephen_ leo dada irudiwe basi
nasubiri izo selfie kabla sijaanza kulewa View attachment 3604529
So beautiful and gorgeous 💗💗!Wiki hii natamba na hii anataka mpya tuonane wikiend
Hahaha fanya mambo basi macho yangu yaburudike 🔥Hivyo vya caunta m-pesa yangu inapokea
Thank you dear uko mremboooo naturally 🔥🔥🔥Nione hapo juu nafuta
Hiyo black n white acha itambame kwa sababu maalumuSo beautiful and gorgeous 💗💗!
Black and white imetunyima uhondo!!
Hakika leo siku yangu umejua kuifanya iwe nzuriii
Wabheja sana
Kanunue miwani tu!!! Nimetupia sekunde huna bahati mfalme wetuHahaha fanya mambo basi macho yangu yaburudike 🔥
Asante nakwako pia mamy. Be blessedHiyo black n white acha itambame kwa sababu maalumu
Uwe na usiku mwema huyo ndio mama me mamaa ministre!!! Leo dada
ishakua noma sasa,Kanunue miwani tu!!! Nimetupia sekunde huna bahati mfalme wetu
Maliza kwanza henessy pori takubless baadae kidogo!😁Yan humu ukipepesa macho kidogo tu ukirudi unakuta manyoya tu
Seran Tayana-wog ephen_ leo dada irudiwe basi
nasubiri izo selfie kabla sijaanza kulewa View attachment 3604529
Dada'ake huchekagi na kima😅Hivyo vya caunta m-pesa yangu inapokea
Nibless tu saiv badae takua tungi napepesa macho kama nguruwe pori😁Maliza kwanza henessy pori takubless baadae kidogo!😁
Hahahaa mwenyewe sioni mbele vizuri hatutapishana sana mkuu!Nibless tu saiv badae takua tungi napepesa macho kama nguruwe pori😁
😹😹😹 Unatamani ungekuwa wewe ujipigie..!!Mpka nimedinda ... penye miti hakuna wajenzi !!!!
Naona moto kila kona, wanataka kuuchoma uzi?humu panawaka na kuzima sekunde tu ukitoka na kurudi unakutana na manyoya😢🤨