Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mkuu mbona moshi wote nje si bora avute shisha basi.
shisha hamna kitu mle, ni mbwembwe tu.

sisi watu tunaoamini katika africanism ideology huwa tuna prefer fresh, original and uncontaminated herb plant from the farm.

sijawahi kutumia shisha na wala sitakuja jaribu cos huwa nahisi mchanganyiko wake una makorokoro mengi ambayo sio rafiki kwa afya ya mwili na ubongo.

ni mtizamo wangu tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
True say.
 
karibuni chai and gahwa wakuu
20191213_165554.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom