Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

😀😀😀Acha tu yaani ni kasheshe lecture anafundisha wa kausha damu wanakutumis sms ya vitisho 😂
😹😹😹😹 Wii hapo kudisco nje nje..!!
Mi order za wakongo zikiingia nakimbia kipindi..!!
 
power mabula wangu Seran I love you so much 😍

View attachment 3603436
Jibu mashambulizi kijana 😂
Niko veree..
1780900723877.gif
 
Wewe koma nilikuanzishia wapi?
Baada ya kupost selfika pic lako si ndo ukaja pm kuniambia power mabula malayaa anajifanya anakujua kumbe Hakujui na akileta ungese unamchana nikakujibu nini??

Ukanipa na screenshot hizo.
Nikakwambia achana nao wapuuzi tu hao.

Kwahiyo wewe ulitaka tuselfike km power mabula anaweka kidoti cha wanja aonekane pisi kali 😹😹😹

Mtu ambaye hata kuvaa changamoto watu tukiselfika full haamini anahisi sio sisi kwani anaishi na vitu gani huko??

Wewe na yeye wote mkome hivyo ndo nilivyo mumlaumu mama yangu kwa kunizaa.. 😹😹😹
😂😂😂😂 mabwakuuuu.
 
Ulale wapi? Ulijificha kwenye kona wewe..!!
Hii iwe mwanzo na mwisho kuniongelea pumbaless.. Nilikuwa nakusubiri unilete hapa si umesema unanijua?? 😹😹😹

Ningeshangaa wewe unijue mimi?
Kumbe kuforce kuniomba pic pm ili tu baadaye ujitie unanijua?? We kumbe * * eehh!!
😂😂😂😂
 
Na namba ukanipa na sijakutafuta na ukaja kujieleza jukwaani unataniana tu. Nikakuuliza kwani mimi na wewe tuna mahusiano? 😹😹

Bora mengine unikumbushe mwenyewe 👌😹😹

Kwani hilo ndo tatizo?

Hivi ningekukubali ingekuwaje? 😹
Sasa hivi ungekuwa unauza ubuyu hapa.
Mimi huwa niko mbele ya muda.
Mwanaume ambaye kidume kweli huwa simleti pm najua atanipata. Nawataka km nyie machale chale tupige soga..!!

Mwanaume km kiranga azame pm unafikiri naweza kuchomoa? 😹😹
😂😂😂 mabwakuuu!!
 
Muendelee kujichanganya vizuri 😹😹
Mbona hukurudi tena kusema km ulieleweshwa? Kwahiyo wewe unabeba ya huku unapeleka huko kisha unaleta huku??

Sasa mbona unajizungusha na kujichosha mwenyewe km pimbi..!! 😹

Mwanaume kuwa mmbea mmbea hata hainogi Mbaga. Unafanya wanaume wenzio waonekane hamnazo..!!

Ko ndo ukawaambia Lamomy unamjua 😹
Usikute na pic ya uongo ukawapa wewe hushindwiii 😹😹
😂😂😂😂 nacheka km mwehuuu!!
 
Back
Top Bottom