Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 39,431
- 94,825
Kwani uongo nilikuomba?Wanawake 🙌
Wewe bhana umeyataka ya wanawake acha tukupe kitu roho inapenda utulie..!!
Btw nauza pia vijora nakuletea chako uvae
Kwani uongo nilikuomba?Wanawake 🙌
😅😅 tuendelee kuwa wapenzi watazamajiMI naogopaa mahi
Ulale wapi? Ulijificha kwenye kona wewe..!!Nilipitiwa na usingizi, Sasa babu yangu kaniamsha nikalime shamba Ndo nikashtuka nikasema em ngoja nipite huku, kumbe mambo yalikuwa mambo humu nilivyolala 😂
Ngoja tuone shengesha😅😅 tuendelee kuwa wapenzi watazamaji
Mimi nakuwa msomaji tu kwa sasa GudubaiiiNgoja tuone shengesha
Kila la kheriMimi nakuwa msomaji tu kwa sasa Gudubaiii
Uache ujinga.Relax mdada, mbona mambo sio magumu hvy kama unavyotaka yawe.
Na namba ukanipa na sijakutafuta na ukaja kujieleza jukwaani unataniana tu. Nikakuuliza kwani mimi na wewe tuna mahusiano? 😹😹Afu umesahau kusema nilikuwa nakutaka 😸
😎😎🏃anyway ht sijui kuna nnNa namba ukanipa na sijakutafuta na ukaja kujieleza jukwaani unataniana tu. Nikakuuliza kwani mimi na wewe tuna mahusiano? 😹😹
Bora mengine unikumbushe mwenyewe 👌😹😹
Kwani hilo ndo tatizo?
Hivi ningekukubali ingekuwaje? 😹
Sasa hivi ungekuwa unauza ubuyu hapa.
Mimi huwa niko mbele ya muda.
Mwanaume ambaye kidume kweli huwa simleti pm najua atanipata. Nawataka km nyie machale chale tupige soga..!!
Mwanaume km kiranga azame pm unafikiri naweza kuchomoa? 😹😹
Umetuwaza ndiomana ukaja mbio mbio km mwenge wa uhuru kuja kujishaua unanijua eti “I know you” 😹😹 Jeezy WTFHakuna kibarua wala kimemo, hao wote hawanisumbui n vile tuu wamejihisi hvy wakanivamia bure tuu hata sikuwa nawawaza
Hizo Shem zinaleta hekaheka humu mi si nilikwambia? Umeamini 😹😹😹Rudi shem😅
Wasalimie😎😎🏃anyway ht sijui kuna nn
Acheni basi jmn
Tupendane humu duh!
Kwaheri
Nitakuua kweli 😹😹😹Naona Lamomy amejipanga kuniua 😸
Kwamba tatizo lilianzia huku au sielewi imekuajeHizo Shem zinaleta hekaheka humu mi si nilikwambia? Umeamini 😹😹😹
Km hatukusumbui kwann hukai ukatuliza mshono 😹Ndo siku yangu imeshakucha, nipo barabarani nawauzia Makonda chenchi.
Hao wengine hata hawanisumbui kichwa.
Soma taratibu utaelewaKwamba tatizo lilianzia huku au sielewi imekuaje
SawaaSoma taratibu utaelewa
Mi sijui kitu, naimba tu maana sibling wangu kaamka ana muimbia paka wetu 😅Akhaa😅😅 jana sijui kwanini kwanini nililala
Muendelee kujichanganya vizuri 😹😹Unakumbuka Kuna siku nilijichanganya nikaanza kukuita mnafiki, then tukamalizana pm kunielewesha?
The same thing ndo kilichotokea kati yangu na hao watu, n vile tuu wamejihisi na wala hata sikuwa nawasemea wao.
Bc wanatokwa na maneno Mia kwenye kitu cha kawaida mno, ety najiingiza kwenye mambo ya kike wakati n wao wamejihisi tuu 😂