Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Ww nae em kapeleke mkungu Huko, mwanaume mzima unatoa nnya.
😂😂😂😂 unataka kutoa na wewee?? Njoo nikufunde mwali wangu, na huu mwezi ndio wa kujidaii, sema nikukatie tickets twende zetu taifa teule tukasherehekee, mambo yako 🔥 huko, na Mzee Neta ni Mgeni rasmi.

Shughuri iko na tunatamba nayoo!!!
Poleee wee!! 😂😂😂
 
Ila nimecheka sana, Eti Anasema kumbe alikosea kumuita mwenzie Mnafiki, kisa kuhusu picha sio zake, na wakaombana msamaha, sasa kwani hilo la kusema picha sio zake tulisema sisi, au m1 wao ndio alibwata humu ndani, na sisi tukachochea tu,

Wao ndio walisema wana picha zake OG na sio alizotuwekea sisi hapa, sasa hii ngenga inatoka wapii? Ila Watu 😂😂😂😂

Ndio madhara ya Umbea wa kujifunza ukubwani, unasahau hansard zote, Lol
Kuhusu Gugo lenzii wala sio jipya humu ndani mahi, ndio maana baadhi ya memba wameondoka kisa ni hiyo, na tulisanuliwa if unataka kuweka picha, fanya ku screenshot kwani, details zinafichwa.

Labda km kuna jipya jingine, na Lifike tu. Litapokelewaa.
“Ukiwa muongo usiwe msahulifu” wao wanasahau km ndio walileta hayo mambo hata sikujua mpaka huyo Mbaga aliponiambia pm
 
Hapo sawa, una stress sana mwili hauna nuru itakuwa pawa mabula anakunyonya sana damu..!! 😹😹😹

Hapo ndo Azam kumbe?
Niombee kipindi nije kufundisha uwekezaji na vijana..!!
Na uduguu wangu apewe cha SHENGESHA ZA KITAA NA COCASTIC 😹😹😹👌
Pawa mabula mtamu, n ww tuu na jasho zako za Kariakoo
 
😂😂😂😂 unataka kutoa na wewee?? Njoo nikufunde mwali wangu, na huu mwezi ndio wa kujidaii, sema nikukatie tickets twende zetu taifa teule tukasherehekee, mambo yako 🔥 huko, na Mzee Neta ni Mgeni rasmi.

Shughuri iko na tunatamba nayoo!!!
Poleee wee!! 😂😂😂
Sili mikungu mm, Endelea na wanaume wako wanaokofukua
 
“Ukiwa muongo usiwe msahulifu” wao wanasahau km ndio walileta hayo mambo hata sikujua mpaka huyo Mbaga aliponiambia pm
😂😂😂😂 uduguu, una nini lakiniii?
Watu wana mambo mingii, kusahau ni muhimu atiii..
Woiiiiiiih!!!
 
😂😂😂😂 unataka kutoa na wewee?? Njoo nikufunde mwali wangu, na huu mwezi ndio wa kujidaii, sema nikukatie tickets twende zetu taifa teule tukasherehekee, mambo yako 🔥 huko, na Mzee Neta ni Mgeni rasmi.

Shughuri iko na tunatamba nayoo!!!
Poleee wee!! 😂😂😂
Kwahy hua navaa suruali za kiume au za kike?
 
Back
Top Bottom