Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 39,836
- 96,086
Mimi wagoogle nimewaruhusu na huwa naweka kitu juu mpk chini sijali..!!Hata haistuiiii, 😂😂😂😂
Uje na jambo jipyaa, hili la Gugo Lenzi ni Old humu ndani, labdaa kwako wee ni geni.
Waje hapa na majibu yao ila wasiniedit tu..
Yani watu wako busy kudownload app kisa pic za Lamomy seriously?
Mama Lamomy haupo duniani lakini watu wanateseka na uzazi wako ulioutotoa 😍
Momy Lamomy Igweeeeeeeeeeee 🫡😘😘
Umezua taharuki mwanamke wa shoka..!!