Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Ila hii Selfika, maana waliosema picha si zake si ndio hao hao ambao wako nae Pa1 leo?

Huyu kaka anajisahau sana, yeye na hao wenzake wanajuana kupitia uzi wa kazi na wakapelekana kuungwa group la tsup huko.

Labda ndiko walikofahamiania, sasa mengine hatuyafahamu.

Na hii ya Google lens wala sio yeye ndio wa kwanza kujua na kuleta hapa, Babu miga ndio alikuja kutusanua humu, na ilikua mwaka juzi vile, na ndio chanzo cha memba wengi kutoka huu uzi.
Mama malezi, mzigua, espy, shunie, makiseo, simara, yna2, etc.

Wakaona itakua michoreshoo, wakaamua kusepa na heshima/hekima zao.

Wala hakuna jipyaa kabisa.
Shangaa na wewe tena mimi kaniletea na risiti kabisa nikampoza kimtindo wewe wapotezee..!! Yeye akalalamika power mabula kamwambia remmy ongala atampa pic zake anazo mimi namsifia simjui Mbaga sio huyo..!! Nikamuuliza uliwahi kumtumia pic zako? Akakataa..!!

Sasa mimi habari zao za ajira portal zinanihusu nini km walibebana mpk WhatsApp huko? 😹😹

Kumbe wanajuana sasa si wamalizane wenyewe..!!

Mbaga aliniforce kweli nimpe pic yangu nikagoma. Akaamua yeye anipe yake hata hivyo sikuwa na shida nayo coz sijamuomba..!!

Kumbe yupo Azam? Ujue mimi hata sijafatilia zile pic zaidi ya kumsifia tu..!! 😹😹

Aniombee kipindi Azam cha kuchamba niwachachue wana Dar 😹😹
 
Picha gani si hiyo yuko kwenye Ofisi za Azam Media Ltd, hadi mwafula kasema ataanza kumuogopa, sijui wanamchota nani hasa, 😂😂😂

Mie najionea mauza uza tuu, aaaah 😂😂😂
Aniombee kipindi Azam nikawachambe 😹😹

Mbaga nilikuwa namuheshimu ujue nilimchukulia km mshkaji kaniumiza sana kujihusisha na mambo ya kike..!!

Kwa alivyojiweka humu na mambo ya kike Hata hayampendezi..!!
 
Shangaa na wewe tena mimi kaniletea na risiti kabisa nikampoza kimtindo wewe wapotezee..!! Yeye akalalamika power mabula kamwambia remmy ongala atampa pic zake anazo mimi namsifia simjui Mbaga sio huyo..!! Nikamuuliza uliwahi kumtumia pic zako? Akakataa..!!

Sasa mimi habari zao za ajira portal zinanihusu nini km walibebana mpk WhatsApp huko? 😹😹

Kumbe wanajuana sasa si wamalizane wenyewe..!!

Mbaga aliniforce kweli nimpe pic yangu nikagoma. Akaamua yeye anipe yake hata hivyo sikuwa na shida nayo coz sijamuomba..!!

Kumbe yupo Azam? Ujue mimi hata sijafatilia zile pic zaidi ya kumsifia tu..!! 😹😹

Aniombee kipindi Azam cha kuchamba niwachachue wana Dar 😹😹
Na yule mwingine Papa mobimba, 😂😂😂 ndio anajifanya ndumi la kuwili,.

Ko kumbe uzi ulitembea kuhusu Suala la gugo lenzi? kumbe watu humu ni wapyaa eeeh??
Watuache makontawa wenye uzi wetu, tuko nao sako kwa bakoo, walitukuta na watatuacha..
😂😂😂😂
 
😂😂😂😂 nimecheka hadi kupaliwaa, Vin kuumbuliwa kujifanya yuko eyapoti ya ufaransa, kumbe yuko kigamboni Mwembe radu.
Ila Selfika ilikua full drama, full heka heka, nywi nywi nywi za kushatooo.
😂😂😂😂
😹😹😹 Halafu huu uzi una watu wa ajabu sana..!!
Hiyo mwembe radu ufanye next weekend twende uduguu..
 
Back
Top Bottom