Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Wamekiwasha kwa kuchamba au? 😂😂😂
Maana huko juu nimeona sijui mwanaume sijui kidampa yanamtoka maneno.
Nikaamua nitazame pages, naona za kishato, afu nimechoka Leo,

Ndio nikauliza, nikajua labda kuna ubuyu wa🔥 umenipita.

Wakaka 🥵 wako huku nje mahii, kunae huyoo huyu ntaweweseka week nzima.
😂😂😂
Wapi walikosema kidampa na mwanaume?
Huko sijaona, Ila nimeingia nimekuta pics nyingi nimekuhifadhia masijala ujionee..!! 😹😹😹

Leo nilikuwa busy na wakaka tu kwa wadada sijaona maajabu kivile..!!

Em selfika kwanza tutingishe mji
 
Back
Top Bottom