ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 16,992
- 40,121
Nani kwakwambia nina nyashi acha nitoke kwanza nitafute cha kula aisee nilipanga nitoke mida fulani uvivu ukabisha hodi🤣🤣Weka nyash nione 😻
Nani kwakwambia nina nyashi acha nitoke kwanza nitafute cha kula aisee nilipanga nitoke mida fulani uvivu ukabisha hodi🤣🤣Weka nyash nione 😻
😹😹 Unalo nimeonyeshwa na roho mtaka fujo..!!Nani kwakwambia nina nyashi acha nitoke kwanza nitafute cha kula aisee nilipanga nitoke mida fulani uvivu ukabisha hodi🤣🤣
Hongera sana, ni hatua kubwa sana babu!Nimeanza kujidunga 🍷nina miezi 4 sasa, siku ukiniletea Kiko utaniona mjukuu 🤭
Hapa nimekaa sehemu napiga glass huku nakula upepo wa mjini
Mjani nina miaka mingi napasha, mara nyingi nachanganya kwenye Kiko 🤪
Warembo wote ni marafiki zangu(friend with no benefits)Nikutag vipi wakati mimi nimekusaidia kuripoti ifutwe na mods..!!
Wewe lipa pesa hiyo ahadi ni deni, hii pesa nitakudai na utaitoa usintanie ujue 😹😹😹
Halafu ukianza ubabaifu warembo watakuogopa humu..
Sawa 😂😂Siwezi hata kwa dawa
Na wewe unakubali kabisaaa?? 😹Warembo wote ni marafiki zangu(friend with no benefits)
Kiroho swafi, urafiki unadumuNa wewe unakubali kabisaaa?? 😹
Mtoto Kama Tayana-wog alivyonona unakubali kabisa awe rafiki asiye na faida? Awww 😹
Hahaha.....thanks, nimeambiwa hii inasaidia kunirudisha enzi za mwaka 47 eti 🤪Hongera sana, ni hatua kubwa sana babu!
Wewe unahitaji chupa mbili na zaidi ndiyo unaweza kuanza kuyumba, otherwise gudubai 🙌Nishakata chupa hata siyumbi, malizia ka glass ukapumzike na bibi we mzee,
Fanya uniletee basi, si mwendo wa dakika 20 tu 🤭Nifanye mpango upate skunk, nikuhamishie kwenye chill squad yetu ni blunt kwenda mbele!😁
Sema Haki ya Mungu? 😹Kiroho swafi, urafiki unadumu
Nitakula wangap? Kila siku kuna pisi mpya afu kali
Hahaha jichanganye tukukute mtaroniHahaha.....thanks, nimeambiwa hii inasaidia kunirudisha enzi za mwaka 47 eti 🤪
Labda 3 nishakuwa sugu!Wewe unahitaji chupa mbili na zaidi ndiyo unaweza kuanza kuyumba, otherwise gudubai 🙌
Hahaha mzee naomba nilaze komwe usinitafutie balaa, sipokei tuzo humu😆Fanya uniletee basi, si mwendo wa dakika 20 tu 🤭
Ndio ndio mkuu.mshamba_hachekwi njoo kwanza
😅😅 nitadondokaje wakati nina wajukuu wa kunishika mkonoHahaha jichanganye tukukute mtaroni
Nitaona hiyo siku kwa kweli, tatu sio mchezo ujue 😅Labda 3 nishakuwa sugu!
Hahaha..........kweli huna huruma na Wazee 🤗Hahaha mzee naomba nilaze komwe usinitafutie balaa, sipokei tuzo humu😆
Hivi wewe ni wa kupita naked usinitag? 🥲Ndio ndio mkuu.
Haukuwa hewani mkuu😅Hivi wewe ni wa kupita naked usinitag? 🥲
🚶🏿🚶🏿🚶🏿🚶🏿Sema Haki ya Mungu? 😹
Kula bhana wameletwa kwaajili yenu..!!
Pesa yangu vipi lakini?
Ujue Amby hiyo pesa nishaipangia budget ya bundle kweli..!! 😔
Hahaaatapeli😄😄😄🤭,, eh na kuna siku ulitabiri jambo hivi lilitimia? au siku bado
Unaenda kuzileta boss? 😹🚶🏿🚶🏿🚶🏿🚶🏿
🤣🤣🤣Na wewe unakubali kabisaaa?? 😹
Mtoto Kama Tayana-wog alivyonona unakubali kabisa awe rafiki asiye na faida? Awww 😹