ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 17,035
- 40,203
Ninayo ya kwake kwa gallery una bei gani hapo mkuu😅We chica unashadadia ila zako huweki, why?
Ninayo ya kwake kwa gallery una bei gani hapo mkuu😅We chica unashadadia ila zako huweki, why?
Kwanini mpole kuliko 2pac mwenyewe?Nani aliambiwa hivi
Ungeona picha usingeamini🤣🤣
Mbona Labella yuko hapa hapa humuoni 😅😅
Hata wewe?😁Ninayo ya kwake kwa gallery una bei gani hapo mkuu😅
😹😹😹😹 Kwahiyo tusiwasifie wakaka wazuri jamani..!!Huu sasa umalayaa mahi
Ila mimi sijaona😢
🙌 basi mimi kuselfika tena mtanisikia tuNinayo ya kwake kwa gallery una bei gani hapo mkuu😅
SimwoniMbona Labella yuko hapa hapa humuoni 😅😅
Hakuna cha bure mzee🤣Hata wewe?😁
Kama ninavyokuona vile uncle wangu👋. Heshima kwako🙏
Nilijua tu😅😅😅🙌 basi mimi kuselfika tena mtanisikia tu
Maka mimi sio dada yako tuheshimiane 😹😹😹sijui hata nijibu vipi we mdada, ila kuna kete kadhaa hapa, njoo tushtue mapafu na ubongo.
Kauli yako sio ngeni masikioni mwangu.. nishaambiwa sana hii kauli.. mtu anakuna anasema wewe, mambo yako na ulivyo TOFAUTI 🤣😂Mkuu mbona hufananii na yale maongezi🤣 kisura cha upolee..
Angalia vizuri yupooSimwoni
Sawa lamomy.. nisamehe mimi 😂🤣Maka mimi sio dada yako tuheshimiane 😹😹😹
Msimjibu Maka kwa nyodo viumbe km yeye tumebakiwa navyo vichache..!! 😹
Mganga alisema ni mara 1 tu, nikinogewa kitakachonikuta shauri yangu..Fanya tu Shwaaa na kufuta 😂😂
Nipe mahi puliiizzz😹😹😹😹 Kwahiyo tusiwasifie wakaka wazuri jamani..!!
Nikupe pic yake?
🤣🤣🤣Msimjibu Maka kwa nyodo viumbe km yeye tumebakiwa navyo vichache..!! 😹