Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Nimepata dada wa nyumbani, changamoto yake akiwa jikoni muda wote mdomo unatafuna.
Nikawa nampotezea naona anaonja kawaida ila juzi naenda jikoni namkuta kitimoto kaweka kwenye nyanya tayari, ametenga vipande vi3 pembeni vya kutafuna na muda huo mdomo una nyama.

Hapa anakaanga chips, hii awamu ya 3 kila akitoa na yeye anachota anakula
Ukiwa sebleni unaona jikoni ndo maana namuona.
Hii ni kawaida kwa wote au🤔
My friend kama tabia ni njema na ni mchapa kazi, maswala ya chakula ni kawaida, nunua chakula cha kutosha, atazoea tu, atakula atasaza..
Ila kama budget inabada inabidi uendelee na mchakato wa kusaili wadada wengine.
Chakula sio inshu,
Uvivu, uchafu, umbea na unafiki, uwongo, umalaya n.k
 
Nimepata dada wa nyumbani, changamoto yake akiwa jikoni muda wote mdomo unatafuna.
Nikawa nampotezea naona anaonja kawaida ila juzi naenda jikoni namkuta kitimoto kaweka kwenye nyanya tayari, ametenga vipande vi3 pembeni vya kutafuna na muda huo mdomo una nyama.

Hapa anakaanga chips, hii awamu ya 3 kila akitoa na yeye anachota anakula
Ukiwa sebleni unaona jikoni ndo maana namuona.
Hii ni kawaida kwa wote au🤔
Mwambie haupendi hiyo tabia kwanza ni mbaya! Analiaje jikoni? Kwani mkiweka chakula mezani hali au.. mwambie ukweli anakuona unakaa kimya ndio maana hawazi hata kutenga vipande vyake vitau pembeni!

Mimi mdada wangu hawezi hizo tabia kwanza hana, kwahiyo si kawaida!
 
Kwa yale yaliyomo niliyoyaona, bila ng'ombe 100 haturuhusu wakuchukue mjukuu

Na ndiyo maana wale Vijana wa nyumba za jirani walikuwa hawaachi kuja kununua ice cream kumbe ilikuwa janja yao ya kuja kukuona 🤭
Sema we mzee mnafki sana basi tu🤣

Ng’ombe 100 ni kwa wantuzu tu huko leo dada anaelewa!
 
Tutakutibu mzee tulia
Awamu hii, Kweli nimepatikana babu yenu 🤗

Kwahiyo mkija wengi kwa pamoja ndiyo mnasaidiana yale majukumu?

Huyu anamwimbia babu na maiki, mwingine anampitisha vidole vyake laini kwenye kidevu

Kwa mwendo huo, sijui kama sitawapatia password ya akaunti yangu yenye pensheni 🤪🏃🏃
 
Tutakuja wengi kila mtu ashike kiungo chake babu yetu aweze kurelax kabisa😂
 
Nawaza jinsi ya kumwambia mpaka sasa nimepiga kimya kama chakula kinawekwa mezani aliye karibu anajichotea sahani anajaza na yeye ndo anapiga msosi mwingi kuzidi sisi sasa sielewi shida yake ni nini
Yaani huyo haridhiki,hiyo kitu sipendi mtu anajishibia jikoni,nyie namsubiri apike kumbe mwenzenu anajishibia
 
Back
Top Bottom