Ambition plus
JF-Expert Member
- Feb 23, 2018
- 6,994
- 13,311
Zamu yakokumbe kweli bwana🔥🔥 mywako anajivunia wew sana
Zamu yakokumbe kweli bwana🔥🔥 mywako anajivunia wew sana
ilikua hiii,, Ambition plusDadeki
😂😂😂ukiwaza hayo mambo unaona bora uishi kisela tuAu uende ukweni umekaa sebuleni kama lijinga hivi unapigwa dodoso haste haste.
tayaliiiZamu yako
Na unapitwa sn sikuhiziTobaaaah!! Nimepitwaa tenaaa? Fanya kurudia mahi.
😢😢😢
Mashallah maridadi kabisaa,ilikua hiii,, Ambition plus
Sawaa😂😂😂 mimi asiniambie hivyo nitamuomba zake anigawie
🤣🤣🤣Kama hizo ndo zawadi ndogo ndogo we kuniua hushindwi
Mpaji Mungu kasema hawezi kunipa hizo zawadi et nataka kumuua😅😅😅😅Mashallah maridadi kabisaa,
Hakika zawadi ndogo ndogo haki yako kama unavyodai
Limeisha hilohapa sawa mwambie aje upesi 😅😅 niko tayali
🤣🤣🤣elf 2 hapana mi nataka millennia wa 80+Na ukiacwa njoo nina wadogo zangu wawili wa 2001 kwenda juu watakufaa kweli🫣
Nimecheka kwa sauti,Mpaji Mungu kasema hawezi kunipa hizo zawadi et nataka kumuua😅😅😅😅
naanzaje kukuua kwa mfano😄😄😄Kama hizo ndo zawadi ndogo ndogo we kuniua hushindwi
Kwetu mie ndio wa kwanza wa 80 anatoka wapi😅😅🤣🤣🤣elf 2 hapana mi nataka millennia wa 80+
mule mule yani😅😅😅Nimecheka kwa sauti,
Kila ng’ombe ale kwa urefu wa kamba yake..atakua mchaga huyo
Sema tajitahidi upate hata biashara ya kuuza ubuyu.Mpaji Mungu kasema hawezi kunipa hizo zawadi et nataka kumuua😅😅😅😅
uwalaza wapiii hebu acha kumtisha mwenzio ebooo😄 tena akijua unajicho mlegeoMimi na huu uwalaza, hapana bora tubaki anonymous tu mwanetu😁