Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Ni post 🤣 kwenye simu yangu majina sijui kama yanafika 50 siku naamka na delete delete watu fake🤣🤣
Wewe tafuta issue nyingine huna uvumilivu 😹😹

Mimi mwenzio hata ex wangu sijamblock kuna siku nimepost mzigo kaupenda na kwa vile ex bei imejidouble nafidia muda wangu niliopoteza kwake..!! 😹😹😹

Bidhaa ya 150,000 nilimtoza 300,000 anasema unifanyie deriver mwenyewe namuitikia okay boss akilipia anapewa boda.. 😹😹
 
🤣🤣🤣🤣 sawa acha niuze mama ntilie
 
🤣🤣🤣🤣 sawa acha niuze mama ntilie
Hata hiyo mama ntilie yako itangaze upate wateja..!!
Nowadays watu wavivu kuja kula huko mgahawani wanataka uwafanyie deriver, hapo ndio muda wa wewe kuchukua order km winga.
Andaa package nzuri pelekea wateja msosi maofisini na majumbani upige pesa..!!
 
Hapo najua ulikuwa huna la kumwambia,, sasa wa huko akiwa hivyo eti ashike dawa!!!¡ Hiiii
Unavyojua sasa kuwatetea watu wako, hata huruma kwa Wazee hakuna 🤪
Me huko nakuelewa vizuri.
Wana mambo lakini si kama story zinavyosema.
Halafu mi nimezunguka sehemu nyingi Tanzania usukumani hakuna uchawi ila story ni nyingi
Wale sio watu wa mchezo mchezo kama unavyowaelezea hapa

Kwenye ile trip kama itakwepo nitakufunulia kitabu 🤭
 
Back
Top Bottom