Chica Gee
JF-Expert Member
- Jul 13, 2021
- 3,355
- 9,432
Castle_Lite sema basi niende zangu nje
ShemYaan kutoka hii page dk 2 nimepishana na ShesRise_1 .
Nimesikitika sana.
Anyway. Nasubir ya shem wangu Seran niridhike . Vingne vinipite tu.
Maana siwez ona vyote 😂😂😂🤣
nipo Bush jamni kuna mda mtandao hausomi mpka nitoke mabondeniNdiyo mara mbili sijui ulienda kuswapa wapi?
SawaaSee u later jmn
Ona unavyojua kukomalia wenzio😂Castle_Lite sema basi niende zangu nje
Polee wakati mwinginenipo Bush jamni kuna mda mtandao hausomi mpka nitoke mabondeni
Si nimepita lakini au🥲Ona unavyojua kukomalia wenzio😂
sauwaaa hakuna namnaPolee wakati mwingine
Baada ya masaa 8, hujui hii ni shift ya mtu kabisa kazini?Si nimepita lakini au🥲
Shem darling langu miee😍
Mimi kupita naked ngumu😂 acha tu emoj kubwa zibaki hapo
Usiache kuniita gudubaii 🚶♀️😂😂😂😂Ngoja ntaweka emoj ndogo kwenye macho tu .
Si ndio unavyotaka?
Mikwara tu hiiWe nyoko wewe🥹 kwanini unanitesa hivi ephen😭
Afadhali, watesi walivyo active leo ningenyooka 😮💨Mikwara tu hii
Ndio navyotakaa yes😂😂😂😂Ngoja ntaweka emoj ndogo kwenye macho tu .
Si ndio unavyotaka?
Haya mie nimepita naked 🤣Mimi kupita naked ngumu😂 acha tu emoj kubwa zibaki hapo