realMamy
JF-Expert Member
- Apr 28, 2024
- 7,335
- 18,383
Ndio 😜Kudadeki
Ndio 😜Kudadeki
Ukija Uzi mpya wa hivi nitaselfika chap 😜Selfika sasa
Kwa namna ulivyonikaripia, wacha nijidunge zangu 🍷 nilale tuTulia mzee..😅
Uko vzr,naanza kuwa followers wakoNdio 😜
Hahahah umenikumbusha mbali.. sema sikuhizi siwezi haya mambo nasinzia bar🤣Umenikumbusha kuna ijumaa moja miez kama 3 nyuma. Tulizunguka bar 4. Kuja kushtuka saa 10 alfajiri. Tuko Washkaj wanne na mafame wawili.
Mm na mwana mmoja tukawatoroka. Wana wawil wakabak na pisi mbili.
asubuh kuwachek wana , hatuwapat. Na hatuna namba za wale wadada maana pisi moja ni ya msela na nyingne kuna mwana alizimika nayo siku ile ile first day.
Tumekuja kuwapata saa 10 jion. Eti wanasema walikamatwa na polisi 😂😂😂😂 wakawekwa ndan.
Ila baada ya siku 2 wakatuambia ukweli. Kumbuka wana wameoa.
Na wamerud kwa wake zao saa 10 jion next day 😂😂😂😂.
Dah. Balaa sana
Karibu sana Tresor 😊Uko vzr,naanza kuwa followers wako
Hahahaha pekee yangu siruhusiwi ?Sista ako sijamuonaUnaweza kuja na sis Joannah haina shida nitawapa room yenu..!!
Umeanza lini we mzee😂 rudi kwenye kiko au nikuvutishe mjani tu weweKwa namna ulivyonikaripia, wacha nijidunge zangu 🍷 nilale tu
Sioni dalili ya Wazee kuonewa huruma leo 🤭
I promise You Shem, ntakuletea soon. worry not.Hahahah umenikumbusha mbali.. sema sikuhizi siwezi haya mambo nasinzia bar🤣
Ila shem bora umepumzika hizi weekend aisee, maana 🙌🏾 Halafu natamani sana kuonja ile Tzee🤪
Zishtue server za Max basi.. 😹Acha basi
Next time dear mood ipo off kidogoZishtue server za Max basi.. 😹
Night night darling shem❣️I promise You Shem, ntakuletea soon. worry not.
Mm ngoja nilale. Slip tyt shem. Lala unono.
Nikutag vipi wakati mimi nimekusaidia kuripoti ifutwe na mods..!!Wewe sasa unanitengenezea vipengele, umeni tag kama makubaliano yetu?
Fanya kazi mkuu nikupe ujira wako
umenikumbusha kuhusu yoga hivi alirudi au ndo katokomea mazima?
Uje peke yako mkeo unamuacha na nani? 😹Hahahaha pekee yangu siruhusiwi ?Sista ako sijamuona
Weka nyash nione 😻Next time dear mood ipo off kidogo
Nimeanza kujidunga 🍷nina miezi 4 sasa, siku ukiniletea Kiko utaniona mjukuu 🤭Umeanza lini we mzee😂 rudi kwenye kiko au nikuvutishe mjani tu wewe
tapeli😄😄😄🤭,, eh na kuna siku ulitabiri jambo hivi lilitimia? au siku badoHt sijui ila nahisi hajaonekana