Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 28,655
- 83,340
Sijui kwakweli!Ng'ombe 100, hivi hadi miaka hii wanahitaji hao hao 100?
Sijui kwakweli!Ng'ombe 100, hivi hadi miaka hii wanahitaji hao hao 100?
Siwekiiiii mpka unipe connection ya uwinga niache kushinda Jeyihefu😀😀Weka mshape nione mahi 😹
Mkuu uko serious kuonana? Mie sioogopi mtu Mkuu,nakutana na sana watu,ila sio kwa kushtukizana hiviGudibaiii...
Yaani sijui kwann wanajf tunaogopanaga. Hasa wa dar. Ila watu wa Arusha hatuna hata noma.
Nipo anko Hamis, mzima?Vipi mshangazi upo?
Hapana,ila Sina ratiba ya kukutana naeKumbe na wewe unaogopa
Hujiulizi kwanini katika Uzee huu nilionao nauliza swali hiloSijui kwakweli!
Hapo sawa, hapo huwa Niko sana ,so tutaeza pangaWhy not, we can arrange it. Maybe kesho or
Na unaandika nyuzi ndefuuuuuuuuSipendi kabisa sehem zenye watu wengi. Sgr panaboa sana...Nishahama parokia ajili ya mpangilio wa kutoa sadaka. Yaani ukitoka kutoa ile umerudi kukaa watu wote wanakuangalia hadi unaweza kuanguka.
Zimetangulizwa kijiji cha wapi? 🤣Hujiulizi kwanini katika Uzee huu nilionao nauliza swali hilo
Usikute kuna ng'ombe 20 zimetangulizwa tayari Kijijini, nahitaji mtu wa kuniangalia katika Uzee wangu kama ilivyokuwa mfalme Daudi 🤪🏃🏃🏃

Poa MkuuPoa bro utanitext pm... Anytime kuanzia saa kumi kesho
Ni sawaHapana,ila Sina ratiba ya kukutana nae
Na sie tusioweza kuandika tunakuaje?Na unaandika nyuzi ndefuuuuuuuu
Nimegundua watu tunaondika sana
Physical hua na aibu sanaa😀
Uzuri kama tunatapanga Haina shida,Hilo Eneo huwa Niko Karibu kila sikuNi sawa
😹😹😹 Anzia hapa hapa JF uwinga unapiga kokote..!!Siwekiiiii mpka unipe connection ya uwinga niache kushinda Jeyihefu😀😀
mnaweza jua wapoleNa sie tusioweza kuandika tunakuaje?
Mimi Niko tofauti MkuuUkiwa jf elewa vitu hivi
- Mtu anayeandika kidogo hua ni muongeaji sana coz kiuhalisia hapendi kuandika ila anapenda kuongea.
- Mtu anayeandika magazeti hua sio mzuri kwenye verbal communication so anatumia kuongea kwa kutumia vidole
- Kila tabia mbaya au nzuri unayoona kwa member yoyote humu basi ujue ndio uhalisia wake anaweza sema kua huku anaigiza tu but sio kweli. Huku ndio mtu huonyesha uhalisia wake kwakua hakuna anayemjua. Ila huko in real life tunafake . Eg. Kila mtu humu anajua I'm a good writer na nimeandika meeeengi sana ila huku mtaani hakuna anayejua kama nina uwezo wa kuandika vitu
Hahahahamnaweza jua wapole
Wakax hamcheki na wowote
Au kinyume chake mnaongea sanaaa
Kuna mtu namjua sijawahi kumuona akicheka
Mimi live kuongea naishiwa power 😀Ukiwa jf elewa vitu hivi
- Mtu anayeandika kidogo hua ni muongeaji sana coz kiuhalisia hapendi kuandika ila anapenda kuongea.
- Mtu anayeandika magazeti hua sio mzuri kwenye verbal communication so anatumia kuongea kwa kutumia vidole
Sina uhakika hapa
- Kila tabia mbaya au nzuri unayoona kwa member yoyote humu basi ujue ndio uhalisia wake anaweza sema kua huku anaigiza tu but sio kweli. Huku ndio mtu huonyesha uhalisia wake kwakua hakuna anayemjua. Ila huko in real life tunafake
Unaandika tena vitu vimenyooka🔥
- . Eg. Kila mtu humu anajua I'm a good writer na nimeandika meeeengi sana ila huku mtaani hakuna anayejua kama nina uwezo wa kuandika vitu
Naanzaje sasa😹😹😹 Anzia hapa hapa JF uwinga unapiga kokote..!!
We hucheki na wowote nini😀Hahahaha