ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 17,152
- 40,488
Sawa mkuuUzuri kama tunatapanga Haina shida,Hilo Eneo huwa Niko Karibu kila siku
Sawa mkuuUzuri kama tunatapanga Haina shida,Hilo Eneo huwa Niko Karibu kila siku
Hahahaha, hapana mie sio mzuri ktk kuandika ,na kwenye kuongeaWe hucheki na wowote nini😀
Karibu sanaSawa mkuu
Hapo najua ulikuwa huna la kumwambia,, sasa wa huko akiwa hivyo eti ashike dawa!!!¡ HiiiiNi kweli Mzee mwenzangu, huyo nimsemaye alikuwa mweupe na mrefu kama twiga ....just imagine
Koh koh koh 🤭
Me huko nakuelewa vizuri.Seems hujakaa sana kule, watu wana vitu vya kutoka gamboshi
Ni kipaji changu cha kuzaliwa my dream nilitamani kua Author/Screenwriter. Ila huku duniani hakuna anayejua kama nina uwezo huoMimi live kuongea naishiwa power 😀
Sina uhakika hapa
Unaandika tena vitu vimenyooka🔥
Watajua tuNi kipaji changu cha kuzaliwa my dream nilitamani kua Author/Screenwriter. Ila huku duniani hakuna anayejua kama nina uwezo huo
Very nice mkuu❤️Ni kipaji changu cha kuzaliwa my dream nilitamani kua Author/Screenwriter. Ila huku duniani hakuna anayejua kama nina uwezo huo
Ujue uwinga haufundishwi ni kutafuta bidhaa na kuanza kuitangaza..!!Naanzaje sasa
Sasa ni mzuri wapi mkuuHahahaha, hapana mie sio mzuri ktk kuandika ,na kwenye kuongea
Jaribu siku mojaHuwa natamani kuandikaga sana humu ila ndio hivyo
Umesema nianzie huku lakini😀Ujue uwinga haufundishwi ni kutafuta bidhaa na kuanza kuitangaza..!!
Kuanzisha Uzi siweziSasa ni mzuri wapi mkuu
Vitendo au mf like😀
Jaribu siku moja
Poa tu, vipi bado unapiga uwinga apo kariakoo nikija Dar nikuungisheNipo anko Hamis, mzima?
Dah haya sawaKuanzisha Uzi siwezi
Uandishi nao kipajiDah haya sawa
Ndio hata huku kuna wateja..!! 😹Umesema nianzie huku lakini😀
Eeeh napiga uwinga bhana..!!Poa tu, vipi bado unapiga uwinga apo kariakoo nikija Dar nikuungishe
YesUandishi nao kipaji
Ni post 🤣 kwenye simu yangu majina sijui kama yanafika 50 siku naamka na delete delete watu fake🤣🤣Ndio hata huku kuna wateja..!! 😹
Nenda kkoo kwenye maduka ya jumla ulizia vitu bei kisha piga picha anza kutangaza. Lazima upate wateja.
Hiyo haina mtaji ni wewe kujitoa kwenda kutafuta machimbo..!
Ukizoea unatafuta goli lako unapoa wateja wanakuja wenyewe ofisini..!!
Kama una mtaji na pesa ya kutosha tafuta fremu Sinza au kkoo.
Safi sanaEeeh napiga uwinga bhana..!!
Karibu Dar uniungishe kiongozi..!
Ameeen tupogoKitambo sana hili jukwaa, Tayana-wog Ms eyes realMamy maboss zangu madam To yeye n.k nawasalimia kwa jina la Muumba wa vyote