Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 45,277
- 95,562
Imeisha hiyo,ofc kariakoo au sinza?Karibu
Bei iwe nzuri
Imeisha hiyo,ofc kariakoo au sinza?Karibu
Hapo penyewe kipenzi.Sawa maa na jiko naliweza pia
Unalala ili ugundue nini shem, hapa kulala ni asubuhi🤣Dah, afadhali umenialika. Maana leo niko kinyonge sana. Nakuja Shem .
niandalie na chumba cha wagen kabisa. Ntalala huko leo.
Imekaa vzrNjoo usijali hata ukitaka kufikia kwangu haina shida 😹
Husahau naweeHapo penyewe kipenzi.
Halafu nimekumbuka uliniambia utaniwekea Kisauti chako 😻
Karibu uje ufanyiwe massage na mchaichai 😜😅God forbid 😁
nina safari ya kwenda Mombasa ivi karibuni ntapita tusogozane kidogo
Thanks MandalaNimependa Avatar yako
Tulia mzee..😅Si kule uliponiambiaga 🤭
Hahaha........kuwa na huruma na Wazee 😅
Selfika sasaThanks Mandala
KudadekiKaribu uje ufanyiwe massage na mchaichai 😜😅
KkooImeisha hiyo,ofc kariakoo au sinza?
Bei iwe nzuri
😹 Asije tu na mikunguni ya mkoani..!!Imekaa vzr
Naanzaje 😹Husahau nawee
Leo uliweka deal gani mezani? Umeanza ubabaifu mapema..!! 😹Picha ipi?
Hahahaha,hawezi, ila hii OFA hata Mimi nimeitamani😹 Asije tu na mikunguni ya mkoani..!!
Acha basiNaanzaje 😹
Wewe sasa unanitengenezea vipengele, umeni tag kama makubaliano yetu?Leo uliweka deal gani mezani? Umeanza ubabaifu mapema..!! 😹
Umenikumbusha kuna ijumaa moja miez kama 3 nyuma. Tulizunguka bar 4. Kuja kushtuka saa 10 alfajiri. Tuko Washkaj wanne na mafame wawili.Unalala ili ugundue nini shem, hapa kulala ni asubuhi🤣
Unaweza kuja na sis Joannah haina shida nitawapa room yenu..!!Hahahaha,hawezi, ila hii OFA hata Mimi nimeitamani