mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 23,365
- 75,665
hatari sana mkuu🌚Nasubiri kuitwa, mie nalea kajukuu, sina habareeeee
hatari sana mkuu🌚Nasubiri kuitwa, mie nalea kajukuu, sina habareeeee
Uko vizuri mamaNasubiri kuitwa, mie nalea kajukuu, sina habareeeee
😹😹😹 Udugu ntakubondaWaje kujionea Rangii za asili za kuzaliwa nazoo.
Zisizoijua Jiki wala Dikompoza za China plaza Kkoo.
😂😂😂😂
😹😹 Ushapitwa pacha..!!Pacha sijaona mwana
Mzigo sina na huwa najikubali usinijaze 😹😹Mashallah, daaah siyo kwa huo mzigo 🔥🔥🔥 mambo kwa ushahidi 🙌
Pacha fanya ka una dondosha part 2😹😹 Ushapitwa pacha..!!
😂😂😂 BL mie sio Mnaa.Ila wewe ni mnaaaa 😂 😂 😂
Tafadhali, irudie mkuu.Haya haters mje mtoe comment 😹😹
Msisahau na dimple pia ninazo ila trako sasa ndo km hivyo mpk nijibinue..!! 😹
Uzee upo wapi mbona bado unalipa? Knotless imejipanga kama mtoto wa 2000Nasubiri kuitwa, mie nalea kajukuu, sina habareeeee
Kwani uongoo, Fa mchezo na Ku glow kwa Jiki na Dikompoza, mara paap mbagala kwa mbiku hii hapa, sio Rangi tatu tenaaa.😹😹😹 Udugu ntakubonda
Wewe ndiyo nilikua nakusubiri ili nitoke humu, hebu pita mama watu wote tunyamaze kwanza 😂Uzee upo wapi mbona bado unalipa? Knotless imejipanga kama mtoto wa 2000
Nasubiriii hapa mahiii,Subiriiiii
Usinifanyie hivyo🤣 niache kwanzaWewe ndiyo nilikua nakusubiri ili nitoke humu, hebu pita mama watu wote tunyamaze kwanza 😂
Baadae mahiNasubiriii hapa mahiii,
Sawa, nasubiri hiyo Baadae.Baadae mahi
MashaAllah mshamba_hachekwiView attachment 3602203
msinipopoe mie last born,mkinisema nazimia,
Uumbaji 🙌🙌🙌🙌View attachment 3602203
msinipopoe mie last born,mkinisema nazimia,
😘Sawa, nasubiri hiyo Baadae.
Bismillah MashaAllah 🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰