mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 23,359
- 75,649
Muambie airudie mkuu.MashaAllah mshamba_hachekwi
Usiseme hukuepo
Muambie airudie mkuu.MashaAllah mshamba_hachekwi
Usiseme hukuepo
Hakuna raha kama ile unaingia tu selfika halafu naum'bamba mtu akiwa ameselfika!
Nilijua tu hivi wewe huwezagi kutulia sehemu moja🤣🤣Muambie airudie mkuu.
😂 Acha nisiseme kitu ila huwa nakuzoom sana unavyowajaza humu 😹😂😂😂 BL mie sio Mnaa.
Jokes aside, anguko la mwanamke yoyote huwa ni kufikiri inabidi awe namna ambavyo wanaume wanasema au wanapenda kimatamanio. Ni a rate race, huwezi kushinda, hao hao wanaume unakuta wanakwambia rangi inamatter ameoa ambaye hana rangi, au kaoa ana rangi ya mtume ila wote anaocheat nao hawana hiyo rangi kwa sababu anasema ndiyo watamu.Ukweli ni huu hata wanaume wenyewe wanasema, 1St priority ni RANGI, hii haina ubishi, ukikosa hiyo ndio vinafata sasa takoo, guu, hips etc.
Sikujua, hivi ni kweli ndiyo iko hivi? Acha baadaye nishushe uzi tuulize wanaume wa JF wanasemaje!Ndio maana wenye Rangi ya mtume hawaangaliwi Tako wala shape,
Hebu tupumzishe vyeusi mangala buana, tusije kuenda kujidabika carolight tukawa na rangi tatu tatu 😂Vyeusi mangala ndio wanakutana na hizo shengeshaaaa.
jamaniii RANGIIIII, 😂😂😂😂
😂 UmenibambaHakuna raha kama ile unaingia tu selfika halafu naum'bamba mtu akiwa ameselfika!
Nimefurahi kukuona
KaribuBismillah MashaAllah 🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
I'm happy to see you sister 💓
Fireee🔥🔥🔥🔥😂 Acha nisiseme kitu ila huwa nakuzoom sana unavyowajaza humu 😹
Jokes aside, anguko la mwanamke yoyote huwa ni kufikiri inabidi awe namna ambavyo wanaume wanasema au wanapenda kimatamanio. Ni a rate race, huwezi kushinda, hao hao wanaume unakuta wanakwambia rangi inamatter ameoa ambaye hana rangi, au kaoa ana rangi ya mtume ila wote anaocheat nao hawana hiuyo rangi kwa sababu anasema ndiyo watamu.
Kuwa ambavyo upo, wapo wanaume wa kutosha watakaokupenda hivyo ulivyo.
Sikujua, hivi ni kweli ndiyo iko hivi? Acha baadaye nishushe uzi tuulize wanaume wa JF wanasemaje!
Hebu tupumzishe vyeusi mangala buana, tusije kuenda kujidabika carolight tukawa na rangi tatu tatu 😂
View attachment 3602205
Halafu mnatudanganya nyie mishangazi, mbona bado mnalipa au ndo mishangazi classic!😂 Umenibamba
Khiiiii mayoooo, ule mrembo nhooo 🥰
Picha kazi yake kuangaliwa mkuu, wekeni tuziangalie.Nilijua tu hivi wewe huwezagi kutulia sehemu moja🤣🤣
Nasubiri utoke niwekePicha kazi yake kuangaliwa mkuu, wekeni tuziangalie.
Ndio utulie sio unaanza ooh rudia sikuwepo 🤣Picha kazi yake kuangaliwa mkuu, wekeni tuziangalie.
Kete owewe mayo.Khiiiii mayoooo, ule mrembo nhooo 🥰
Asante kwa kunibless 😍😍 mashallah, mashalllah, mashalllaaaaaahhhh 🙌🔥
Naogopa mkuu.Nasubiri utoke niweke
Nimepitwa mwanakwetu nilikuwa na wateja naomba rudia puliizzz 😥Nasubiri kuitwa, mie nalea kajukuu, sina habareeeee
Kuniona?Naogopa mkuu.
Ukweli mi umri wangu ni huo unaosemwa mshangazi.Halafu mnatudanganya nyie mishangazi, mbona bado mnalipa au ndo mishangazi classic!
Umetumia Al😂Ukweli mi umri wangu ni huo unaosemwa mshangazi.
Au tume edit picha?
😹😹😹 Hata usishtuke hamna lolote..!!Tafadhali, irudie mkuu.
Kwa heshima na taadhima.
KuonekanaKuniona?