Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Sina chuki na yoyote humu JF, nawapenda wote ila siku ile nilimind yule mjeda kumkashifu mzazi ambaye ndiyo amefariki hata kaburi halijakauka, kama mama sikupenda, ila yamepita hayo, tuachane nayo!

Ukikunja mtima humu mitandaoni utachizi mai!
Nasubiri kitu mie weekend yangu ichangamke!
Wala sio ile issue ya wale wake wenza. Wale wana mabifu yao ya mboo sisi tulikuwa tunachangamsha kijiwe. Sema kuna kidudu mtu.
Unajua vizuri sema km umeamua kuzuga fresh..!!

Unamjua aliyekujaza chuki za kishamba ukaanza kudemka..!!
Nilichukulia ule ukaribu wetu wa TSR nikapotezea..!!
 
Sema m cash out, nyie fanyeni TSR kuendelezaaa.
 
Back
Top Bottom