ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 16,961
- 40,069
🤣🤣🤣🤣 nimecheka WallahSio dhambi jamaniii, em weka picha nikuthaminishe, je km weusi wako wa kung'aa??
Mbona pambee tuu.
🤣🤣🤣🤣 nimecheka WallahSio dhambi jamaniii, em weka picha nikuthaminishe, je km weusi wako wa kung'aa??
Mbona pambee tuu.
Sina chuki na yoyote humu JF, nawapenda wote ila siku ile nilimind yule mjeda kumkashifu mzazi ambaye ndiyo amefariki hata kaburi halijakauka, kama mama sikupenda, ila yamepita hayo, tuachane nayo!Wewe mwanakwetu na ujanja wako wote unajazwa chuki za kishamba na wewe unademka..!!
Hivi unafikiri mimi unizingue nishindwe kukuchana? Mbona ningekufata TSR nikuchambe..!! 😹😹
Sema niliamua kukuacha ipo siku utajiona mjinga mwenyewe kwa kubeba vitu moyoni..!!
Haya tulia napita ss hivi
Ukikunja mtima humu mitandaoni utachizi mai!Kwanza Wee BL, ila ninii, ila ninii, sema fresh sisi hatujuagi kukunja mtimaaa.
Mie nakuahidi, baadae mida flani ya utulivu ntakuwekea kituuu hapaa.
Sahivi niko winja winja sehemu, 😂😂😂😂
Ushawaka 😃Niache mkuu kwanza sielewi naandika vinini
Jagermaster Jagermaster
Ladies first😃😃😂😂😂 wee anzaa, afu mie nitafuatiaa.
Waje kujionea Rangii za asili za kuzaliwa nazoo.Wake waje waache kujificha 😹😹
Wewee tenaa? Ukiwekaa mie chaapu.Ladies first😃😃
After you my Lady 🔥
Pacha sijaona mwanaHaya haters mje mtoe comment 😹😹
Msisahau na dimple pia ninazo ila trako sasa ndo km hivyo mpk nijibinue..!! 😹
Mashallah, daaah siyo kwa huo mzigo 🔥🔥🔥 mambo kwa ushahidi 🙌Vigodoro vya nini mimi natamba na English figure yangu 😹😹😹
Usichekee sasa, si uwekee 😂😂😂🤣🤣🤣🤣 nimecheka Wallah
Weusi wa nyoka et yaan mpka uuelezee dahUsichekee sasa, si uwekee 😂😂😂
Wee hujui kuna weusi wa kung'aa??
Mahii wee weka hiyo Dark skin, wala usiogopee atiii.Binti wa zamani mahi cocastic kakazana na rangi za mtume ananitoa kwenye mood 😔
Pita mama Starz basi nikuone jmosi yangu iwe burudaaa..!!Class mate!!! Mate!!! Nitapita tu na ntakuita.
Ila nitawaomba hawa genz wasinisasambue na huu uzee.
HakunaaaaMahii wee weka hiyo Dark skin, wala usiogopee atiii.
😂😂😂
😂😂😂 hapo sasa pagumuu mahi, alooo.Weusi wa nyoka et yaan mpka uuelezee dah
Hapo chachaa!! 😂😂😂Sina chuki na yoyote humu JF, nawapenda wote ila siku ile nilimind yule mjeda kumkashifu mzazi ambaye ndiyo amefariki hata kaburi halijakauka, kama mama sikupenda, ila yamepita hayo, tuachane nayo!
Ukikunja mtima humu mitandaoni utachizi mai!
Nasubiri kitu mie weekend yangu ichangamke!
Mpaka nitumie nguvu nachoka mimi nijielezeee woi😂😂😂 hapo sasa pagumuu mahi, alooo.
Huwezi kupinga namna hiyooo. 😂😂😂Hakunaaaa
Umeona eehh sisi marastaKwanza Wee BL, ila ninii, ila ninii, sema fresh sisi hatujuagi kukunja mtimaaa.
Mie nakuahidi, baadae mida flani ya utulivu ntakuwekea kituuu hapaa.
Sahivi niko winja winja sehemu, 😂😂😂😂
I can't wait, uzee gani tena na sie bado vibinti!Class mate!!! Mate!!! Nitapita tu na ntakuita.
Ila nitawaomba hawa genz wasinisasambue na huu uzee.