Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Labella acha ukorofi mwanakwetu, hebu selfika tusafishe macho

love and hip hop GIF by VH1 (1).gif
 
@
😹😹 Yule naye mchokozi yeye alipewa huduma gani na Mio?

Kwanza ndoa yake lini na CH wapambe tukapige vigelegele 😹
Ila mie kwenye ile shengesha, nilichoka kumbe mtu na shost ake wanazungukana, shost akiwa chuga, chimamy anaenda GYM na mio,

Sasa najiuliza mio kwa hivyo alivyo, Huko GYM alikua anaenda kufanyaje? Sipati picha watu km hawakua wanacheka wakimuona alooo.
😂😂😂😂

Ndoa ifungwe mchezoo? Luteni Jenerali atafumua ubongo toka maharusi hadi waaalikwaa.
Wee huogopiii? 😂😂😂
 
😂😂😂 uduguuu, watu wanatafuta Vibe Selfika, na wanakuta vioo vimefungwa, kurudi wanashindwaa, wanabaki kuchokaa, watu hawageuzi kisogoo atii, ni mbele mbeleee.
😂😂😂
Wengine tulishawazika wanataka tuwafufue 😹😹
Mi nachoka wanaogopa kuselfika eti tutaona 😹

Sa kwa pics gani za kutushtua maisha yao yenyewe 2-9 😹
Asipoharibu kwenye nguo basi bra mbovu..!!

Em wakakojoe walale woteee knyoko zaooo 😹😹
 
😂😂😂 si ndiwooo!! Afu sisi kwetu ni shereheeee,, kila siku ni burudaniiiiiiii.

Wao Wa selfike, waja wasuuze macho, ya nini kujibana bana, nchi huruu hiii.
😂😂😂

Segment 1 ni konyoooo, ngojaa nituliee kwaniii.
Aloooo, 😂😂😂
 
Labella acha ukorofi mwanakwetu, hebu selfika tusafishe macho

View attachment 3602179
Wewe mwanakwetu na ujanja wako wote unajazwa chuki za kishamba na wewe unademka..!!

Hivi unafikiri mimi unizingue nishindwe kukuchana? Mbona ningekufata TSR nikuchambe..!! 😹😹

Sema niliamua kukuacha ipo siku utajiona mjinga mwenyewe kwa kubeba vitu moyoni..!!

Haya tulia napita ss hivi
 
Back
Top Bottom