Labella
JF-Expert Member
- Jun 26, 2024
- 3,549
- 7,619
Maganga Chuma nimecheka sana 😹😹😹[emoji23][emoji23][emoji23] yaani, woiiiih
Maganga Chuma nimecheka sana 😹😹😹[emoji23][emoji23][emoji23] yaani, woiiiih
Tena mbu wa hospital wana ukali hatariii, sijui harufu ya madawa yana wachachuaaa.Sasa huku ni wapi? [emoji81][emoji81][emoji81]
Nchi ina mbu mpk hospital huogopi? [emoji81]
Naomba nini kwani?, ngosha nani we burukengeHaiombwi hivyo we Ngosha 😹😹😹
Ko unataka kuibukia wapi?Niibue means kuleta, ukiwa unavua samaki unasema nime ibua
Kingonii ndo tunaita hivyo "Maganga chuma" [emoji23][emoji23][emoji23]Maganga Chuma nimecheka sana [emoji81][emoji81][emoji81]
We kichwa kizito tofautisha kuibua na kuibuka.Ko unataka kuibukia wapi?
Ko IB unataka kuzalisha chotara au?We kichwa kizito tofautisha kuibua na kuibuka.
Kuibua ni kuleta, kuibuka ni kwenda sehemu yee yee ushindo lako
Afadhali umekuja, bora nije tutete, kuna kiumbe kafunga PM 😂[emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi kwann?? 😹😹😹Tena mbu wa hospital wana ukali hatariii, sijui harufu ya madawa yana wachachuaaa.
[emoji23][emoji23][emoji23]
Watu wa tabora unajua wakoje?, ukijua utajua asili yetuKo IB unataka kuzalisha chotara au?
Hahaaa ndo hako! Ukipotezana naye mwezi mzima mkija kuonana mwenzio keshabadilika. Watoto huwa wanakua haraka sana.Ewaaaaah!! My [emoji3059].
Nimekamiss haka ka cute, kwani NN ndo haka ka kulala kwa Gari? Mbona km haka kadogo??
Njoo NYC boii, nakusubirii.Afadhali umekuja, bora nije tutete, kuna kiumbe kafunga PM [emoji23]
Nimenyong’onyea
Si pic au kuna kingine unaomba Wewe Ngosha 😹😹Naomba nini kwani?, ngosha nani we burukenge
😹😹😹 Haki siku moja nitafanya nije nijioneeKingonii ndo tunaita hivyo "Maganga chuma" [emoji23][emoji23][emoji23]
Ewaaaah!! My [emoji3059][emoji3059]Hahaaa ndo hako! Ukipotezana naye mwezi mzima mkija kuonana mwenzio keshabadilika. Watoto huwa wanakua haraka sana.
Angles za picha nazo huwa zinabadili watu saa zingine.
Hii ni ya wiki iliyopita.
View attachment 3590377
Umeona kajibuje?, beside amesha nionyesha nyingi so tuliza ushindo gwakoSi pic au kuna kingine unaomba Wewe Ngosha 😹😹
Hiyo ushindo lako mwenyewe aiseee 😹😹😹We kichwa kizito tofautisha kuibua na kuibuka.
Kuibua ni kuleta, kuibuka ni kwenda sehemu yee yee ushindo lako
Hapa ulinzi uwe mkali sanaHahaaa ndo hako! Ukipotezana naye mwezi mzima mkija kuonana mwenzio keshabadilika. Watoto huwa wanakua haraka sana.
Angles za picha nazo huwa zinabadili watu saa zingine.
Hii ni ya wiki iliyopita.
View attachment 3590377
Kwenu Tabora? Huko si wasukuma wapo.Watu wa tabora unajua wakoje?, ukijua utajua asili yetu
Utashangaa mbonaa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji81][emoji81][emoji81] Haki siku moja nitafanya nije nijionee