cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 117,903
- 192,297
[emoji23][emoji23][emoji23] hujakamatwaa na mapedeshee wa humu weyeee.Hamna umalayer tu na njaa za kijinga..!! [emoji81][emoji81][emoji81]
Wanapewa shingapi haswa?
Siku nikifikia kugombania bwana JF naomba ukaniague nitakua nimerogwa sio bure..!! [emoji81][emoji81][emoji81]
Kuna muda najiuliza nachekaga sana..!!
Halafu watu wako serious hawatanii wanamgombea mtu khaaaa..!!
Aloooooh utaacha ndala uduguu, [emoji23][emoji23][emoji23]