Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Daah hizi dharau sasa,, mie nina sura ya kiutu uzima eti..

Kwa mara ya kwanza nilipewa simu mwaka 2014 mwanzoni kipindi cha likizo ya kumaliza form 4 tena ni baada ya matokeo kutoka,, ila JF nimeijua muda sema basi tu..
JF nimeijua 2015 nikiwa 4m 3 Ila sikuwa na simu wakati huo, nilikuwa naangalia kupitia simu ya kaka, na niliapa lazima nije kutumia JF
 
Sanchez magoli, Kwa hiyo 13% tu ndio wapo hai? Basi death rate ya mtanzania ipo juu sana. Unaweza kutoa takwimu ya idadi ya watanzania mwaka 1985 mkuu? Nataka nijue since then wamefariki watanzania wangapi kama kweli 13% tu ndio imebaki...
 
20191211_132859.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom