Aidii 'inaaminisha'...Mbona hilo jina ni la kike eti??
Dah...[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mie nilikuwa naisikia kwa mama angu
Hata ya Mbeya iko kama hivyo bhana,, na ya kule Kapiri Mposhi..
Mkwe wako huyo mzee baba...
malizia na miaka 2 [emoji16]
Mzima kabisa binamu; sijui wewe na familia
Aidii 'inaaminisha'...
Kiswahili ulipata ngapi we mtoto na umemaliza juzi juzi tu hapa?
Dah...[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hahah...hell yeah namaanisha Karma
Stesheni zote za Tazara zinafanana design, hazina modern engineering kama hilo jengo
Soma vizuri mabango katika hiyo picha, ni steshenibya basi kubwa kuliko zote kwa sasa TZ
Akuuuu!! Hii ndio yenyewe.Hahah ngoja nikutafutie avatar fulani amazing
Nakwamia hapo kwenye pension mkwe.Kwa hiyo ukatoa Atoto ukaweka jina nyingine ya mtoto...
Mkwe unakwama wapi?
Kwahiyo ukaenda kupanda tule tugari watu wanasongamana kama punje za mahindi[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]Weeee si nilimiss kupanda mwendokasi mwenzio