Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 76,750
- 109,845
Sawa August girl...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tena siyo miaka miwili tu bali nilikuwa nina miaka miwili miezi miwili na siku mbili
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa August girl...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tena siyo miaka miwili tu bali nilikuwa nina miaka miwili miezi miwili na siku mbili
@Watu8 ni shemeji yako? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Oohh dooh ndiyo iko mkoa gani hiyo??
Hahaha...Nakwamia hapo kwenye pension mkwe.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Dogo do yo homework...we msomi ujue tunakutegemea humu ndani
Kwahiyo ukaenda kupanda tule tugari watu wanasongamana kama punye za mahindi[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
Khaaaaah!![emoji134][emoji134][emoji134]Mkwe kibodi yako inateleza ama...unaweza ukataja vitu vya sirini hivi hivi
Acha tu tumebanana hadi nikaamua niweke backpack yangu kwenye makalio; mambo ya kubanana na njemba nyuma ya makalio yangu mmmmmhKwahiyo ukaenda kupanda tule tugari watu wanasongamana kama punje za mahindi[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
Hahahaaa!!!hahahaha!!mweWeka tu usijali wote humu waganga wa kienyeji, walozi na washirikina
Sent using Jamii Forums mobile app
Alhamdulillah, tu-bukheri wa afya
Acha tu tumebanana hadi nikaamua niweke backpack yangu kwenye makalio; mambo ya kubanana na njemba nyuma ya makalio yangu mmmmmh
Hahhaa unanicheka.
Kwahiyo ukaenda kupanda tule tugari watu wanasongamana kama punje za mahindi[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
Dogo do yo homework...we msomi ujue tunakutegemea humu ndani
Hahah najaribu tu kufikiria vile unajikunyata na kujibanza...anyway pole sanaHahhaa unanicheka.
Hivi unajua mi sio mpenzi wa kuandika andika sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mambo ni mob brodah,, kama kitu tunaweza elimishana humu tuelimishane tu.. lakini pia kuna wasomi zaidi yangu humu
Mkwe kibodi yako inateleza ama...unaweza ukataja vitu vya sirini hivi hivi
Ahsante; ndo hekaheka za mji wa wenyewe. Kwa kweli me yale mambo gari imetikisika kidogo, mtu anakuja kuweka kituo makalioni kwangu siyatakiHahah najaribu tu kufikiria vile unajikunyata na kujibanza...anyway pole sana