Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

...
IMG_20191210_155727_2.jpeg
IMG_20191210_124047_3.jpeg
 
Umeona eenh,, na ndicho nilichokuwa nawaambia jana..
Na nyinyi ndo mpo wengi

71% ya watanzania hawakuwa wamezaliwa kipindi mwinyi anamaliza muda wake wa Uraisi mwaka 1995.

65% ya watanzania waliopo Leo hawakuwepo pindi baba wa taifa mwalimu nyerere anafariki 1999

41% ya watanzania waliopo Leo hawakuwepo kipindi mkapa anamaliza muda wake wa uraisi 2005
 
Na nyinyi ndo mpo wengi

71% ya watanzania hawakuwa wamezaliwa kipindi mwinyi anamaliza muda wake wa Uraisi mwaka 1995.

65% ya watanzania waliopo Leo hawakuwepo pindi baba wa taifa mwalimu nyerere anafariki 1991.

41% ya watanzania waliopo Leo hawakuwepo kipindi mkapa anamaliza muda wake wa uraisi 2005
Kumbe Nyerere alifariki 1991!!!
 
Back
Top Bottom