Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Namsifia shemejio jamani coca.
Ana plot yao ya urithi vikunai basi nambembeleza anaringa huyo..!!

Namwambia anipe hati nimtumie mpodido pm ananizungusha
Kheri yako wee umtumie mpodido huku hati ukiwa nayo mkononii.
Sio buree buree, sitakuelewaaa,
 
Wewe mbona unakula pesa za watu hata siwajui khaaa..!!

Hivi gwapole mafwele aliishia wapi?
Na unavyowajazaga sasa “Usijali dada utampata” kuna siku utatekwa wewe shauri yako..!!
jamaniii nifanyejee sasa? Wao wanakutakaa bintii? Mie niache helaa, aaah.

Gwapole alituma tena 50k, ili nimpe no ako, nikampa ya gari, mara alalamike,
Sijui ananilia timing, naogopaaa!!
 
Kheri yako wee umtumie mpodido huku hati ukiwa nayo mkononii.
Sio buree buree, sitakuelewaaa,
😹😹😹😹 Weeh mi mkinga situmi mpodido bila hati hapa..!!

Hizo shughuli za Community 🐈 nawaachia wake wenza wa mjeda..!! 😹

Uduguuu nacheka km chizi hapa mambo ya mpodido. Ila kuna viumbe majasiri hivi pm nguvu unazikuta wapi kuweka zaga lako?

Ndiomana server zina stuck sometimes 😹
 
jamaniii nifanyejee sasa? Wao wanakutakaa bintii? Mie niache helaa, aaah.

Gwapole alituma tena 50k, ili nimpe no ako, nikampa ya gari, mara alalamike,
Sijui ananilia timing, naogopaaa!!
😹😹😹 Mi uduguu wako wa faida, kumbe ulilamba 50k lol!

Ulimpa no haiiti jamani!! 😹😹
Wewe utatekwa kuna siku.
Mwenzio alishajua anaenda kujilia toto la kikinga kiulaini..!! 😹
 
😹😹😹 Mi uduguu wako wa faida, kumbe ulilamba 50k lol!

Ulimpa no haiiti jamani!! 😹😹
Wewe utatekwa kuna siku.
Mwenzio alishajua anaenda kujilia toto la kikinga kiulaini..!! 😹
😂😂😂 nilikula jumla 70k, ila JF, watu wako serious na mipodido. Lol
 
Back
Top Bottom