Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23][emoji23][emoji23] uduguu taratibuu, usinifukuziee watejaa.
Em hukoo tuliaa, acha uduguu wako nifaidi ushost nawee.

Au hutakii nineemeke kupitia wewee? [emoji23][emoji23][emoji23]
😹😹😹 Unajua kuwanyoosha..!!

Ahhh nimeeka udugu ufanyaje sasa km hawasikii?? 😹
 
[emoji81][emoji81][emoji81] Unajua kuwanyoosha..!!

Ahhh nimeeka udugu ufanyaje sasa km hawasikii?? [emoji81]
Na hawasikii haswaaa!! [emoji23][emoji23][emoji23]
Mie ni kuwapiga cha juu tyuuh, Winga niko Lele lelee,
 
Yaan kaweka Naked. Unajua Naked? Basi ndo kaweka yeyee, na bahati nzuri nimeifuma pekee angu hapaa.
Aloooh huyu ni Halfcast km wee uduguuu. Lol
Weeehh 🔥🔥
Jamani irudiwe mi nnavyopenda kuona vitu vizuri 😻😻
 
Wee nitulie vipi udugu, shem yuko Wangu Wangu hivyo, anawahi wapiii??
[emoji23][emoji23][emoji23]
😹😹😹 Anawahi kutupa soft life udugu!!
Aliwahi kusema kaniona kkoo mtaa wa Kongo afu micodes aliyotaja mule mule nilishtuka…!! Alizingua mwishoni nikajua huyu anabet 😹😹
 
[emoji81][emoji81][emoji81] Anawahi kutupa soft life udugu!!
Aliwahi kusema kaniona kkoo mtaa wa Kongo afu micodes aliyotaja mule mule nilishtuka…!! Alizingua mwishoni nikajua huyu anabet [emoji81][emoji81]
[emoji23][emoji23][emoji23] ko ulishanzaa kuingia uoga ama nenee??
 
Back
Top Bottom