Hizo ni uniform z kaz, hospitality industry ni mwendo wa uniform hadi mameneja wanavaa colour zinazoendana na brand colours. So hakuna kutoka nje ya codes ukiwa kazinHiyo jacket kali beibeyyyy 😍😍
Halafu mbona kama code zetu tunamatch darling 🔥🔥
Umeona na mimi napenda kupiga hoodie 😹