cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,379
- 188,086
Afu AP em post mambo ya NYC, nimemic kuona swaggz za Mamtoniii.Uzi hauna pics kabisa, mkawii kusema viwalo vya buku 3
Afu AP em post mambo ya NYC, nimemic kuona swaggz za Mamtoniii.Uzi hauna pics kabisa, mkawii kusema viwalo vya buku 3
🥂 cheersUzi hauna pics kabisa, mkawii kusema viwalo vya buku 3
Ambition mbona umefurahi sana?
[emoji23][emoji23][emoji23] shangaziii nimecheka sanaa.Mbona kuniwah weka meno yale meupe bhana yani yamenishawishi na mm nikaweke senyenge sasa[emoji23]
Yani bhana hatari kilasiku nikikaa kwenye kioo nacheka hatari senyenge zinanihusu ile picha naikumbuka hadi leo 😀[emoji23][emoji23][emoji23] shangaziii nimecheka sanaa.
Kuna mtu huwa anasemaga, anayefanya French kiss na mie, unabidi alambe na meno kabisaa. Mie ananiachaga hoi hatariii.
Kina nani tena hao wana leta kelele za kiwaki 😅Acha uchoyo mbless mwenzio huko 😹😹
Afu kumbe kuna watu kumbe wananuna ninavyowasifia??
Si waje huku nao waselfike tuwasifie jomoonii hawajiamini? 😹
🤣🤣🤣ila cocaUsiniambieee? Ana faa kwa matumizii?? [emoji23][emoji23][emoji23]
Anafaa na analika mpk mifupa. Vitu vyako kabisa tall, handsome afu ana karangi flani ya kuku-turn on 😻😻😻Usiniambieee? Ana faa kwa matumizii?? [emoji23][emoji23][emoji23]
Selfika sijakuona bhanaKina nani tena hao wana leta kelele za kiwaki 😅
Wala michembe 😹Kina nani tena hao wana leta kelele za kiwaki 😅
I'm invisibleSelfika sijakuona bhana
Ndo nn mm sijui kizunguI'm invisible
Khaaaaa jmn🤣🤣🙌🙌🏃🏃Anafaa na analika mpk mifupa. Vitu vyako kabisa tall, handsome afu ana karangi flani ya kuku-turn on 😻😻😻
Awwww 😻😻
Li Mbaga lizuriiiiiii mpk linakera..!!
Mbaga Jr tusi selfike tena, kuna wagogo wana maindi kishenzi😅😂Wala michembe 😹
Sasa km mmependeza wakaka wazuri wa JF tusiwasifie? Awwwww kaka zetu mko vizureeee buana 😻😻😻🔥🔥
Wewe kwenye issue za ku selfika hua huvungi diha🔥Una nn lkn🤣🤣🤣
Nilikuja hukuwepo
Abeeh mama mtumishiii?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]ila coca
Sio shida zangu kipenzi, umeona eeh🥰😃Wewe kwenye issue za ku selfika hua huvungi diha🔥
Sema tawire au arsenal bingwaUmeanzaa, em rudia ya leo bhana, woiiih.
Miss uuuAbeeh mama mtumishiii?? [emoji23][emoji23][emoji23]