Labella
JF-Expert Member
- Jun 26, 2024
- 3,549
- 7,619
Rudia bhana niote ndoto nzuri. 😹😹Uduguu una nini wee lakinii?? [emoji23][emoji23][emoji23]
Em njoo WhatsApp kwan nikuchekeshe..!!
Rudia bhana niote ndoto nzuri. 😹😹Uduguu una nini wee lakinii?? [emoji23][emoji23][emoji23]
Msalimie mej😂Nitarudi ila huenda isiwe humu 😂🙌
Muache shemeji yako, hiko kitambi cha kufutia simu bhana 😹😹😹Punguza tambi wee shem, Lol [emoji23][emoji23][emoji23]
Ntakupasua unamcheka shem wako 😹😹😹[emoji23][emoji23][emoji23]
Ahsantee sanaa!! [emoji8][emoji8]Mambo mtoto mzuri [emoji4]
Karibu dodoma, ule kuku wa kienyeji
Kheri yako wee umtumie mpodido huku hati ukiwa nayo mkononii.[emoji81][emoji81][emoji81] Namsifia shemejio jamani coca.
Ana plot yao ya urithi vikunai basi nambembeleza anaringa huyo..!!
Namwambia anipe hati nimtumie mpodido pm ananizungusha [emoji1787][emoji81][emoji81]
[emoji23][emoji23][emoji23] jamaniii nifanyejee sasa? Wao wanakutakaa bintii? Mie niache helaa, aaah.[emoji81][emoji81][emoji81] Wewe mbona unakula pesa za watu hata siwajui khaaa..!!
Hivi gwapole mafwele aliishia wapi?
Na unavyowajazaga sasa “Usijali dada utampata” kuna siku utatekwa wewe shauri yako..!! [emoji81][emoji81][emoji81]
Ila [emoji335] ya Shem nimeikubaliii, iko so [emoji91][emoji91][emoji91]Muache shemeji yako, hiko kitambi cha kufutia simu bhana [emoji81][emoji81][emoji81]
[emoji23][emoji23][emoji23] seriousss!! Njoo kule unipe huo ubuyuu.Rudia bhana niote ndoto nzuri. [emoji81][emoji81]
Em njoo WhatsApp kwan nikuchekeshe..!!
Shem ninae na ninatamba nae. [emoji23][emoji23][emoji23]Ntakupasua unamcheka shem wako [emoji81][emoji81][emoji81]
😹😹😹😹 Weeh mi mkinga situmi mpodido bila hati hapa..!!Kheri yako wee umtumie mpodido huku hati ukiwa nayo mkononii.
Sio buree buree, sitakuelewaaa, [emoji23][emoji23][emoji23]
😹😹😹 Mi uduguu wako wa faida, kumbe ulilamba 50k lol![emoji23][emoji23][emoji23] jamaniii nifanyejee sasa? Wao wanakutakaa bintii? Mie niache helaa, aaah.
Gwapole alituma tena 50k, ili nimpe no ako, nikampa ya gari, mara alalamike,
Sijui ananilia timing, naogopaaa!! [emoji23][emoji23][emoji23]
Wahi sasa 😹😹[emoji23][emoji23][emoji23] seriousss!! Njoo kule unipe huo ubuyuu.
😹😹😹 Shem unaye wewe subiri muda wa kwenda kuweka beacon kwenye plot yetu..!!Shem ninae na ninatamba nae. [emoji23][emoji23][emoji23]
Kabisaa 😂😂😂Edo wa 2012 udugu 😹😹😹
Aririiiiiiiiiiiii!!! Hati tunayo na tunatamba nayo.😹😹😹 Shem unaye wewe subiri muda wa kwenda kuweka beacon kwenye plot yetu..!!
😂😂😂 nilikula jumla 70k, ila JF, watu wako serious na mipodido. Lol😹😹😹 Mi uduguu wako wa faida, kumbe ulilamba 50k lol!
Ulimpa no haiiti jamani!! 😹😹
Wewe utatekwa kuna siku.
Mwenzio alishajua anaenda kujilia toto la kikinga kiulaini..!! 😹
Nishakujaa mahii 😂😂😂Wahi sasa 😹😹