Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji81][emoji81][emoji81][emoji81]
Ngoja nikupe ronya langu uone
Angalia chap chap kabla wanga hawajasema gari sio langu [emoji1787]
View attachment 3587816
Uduguuuu wangu mwenyewee!! Hapa uko km Kamala Harris.
Nimependa hii Dress ya viwangoo, ni high Classic. .[emoji91][emoji91][emoji91]
Baruzaaaa uduguuu, Baruzaaaa tenaaaa!!! [emoji91][emoji91][emoji91]

Watuuuu weuweeeeeeeeeeee!!!!!!
 
Umeolewa ?
Tulete kilo kadhaa za gold, tufanye uamisho na usajiri wa kudumu 😁😁
Khaaaaa..!! 😹😹😹
Ulikaa kwenye kona?
Mi najua tupo na coca tu hapa kumbe wengine mpo? 😹

Sijaolewa lete mahari Ila bi harusi mkorofi utamuweza?? 😹😹
 
Khaaaaa..!! 😹😹😹
Ulikaa kwenye kona?
Mi najua tupo na coca tu hapa kumbe wengine mpo? 😹

Sijaolewa lete mahari Ila bi harusi mkorofi utamuweza?? 😹😹
Hakuna mwanamke mkorofi, mbele ya kupendwa, kudekezwa, kulindwa, na kutengezewa mazingira ya amani na furaha kila mda.. 😁😁
 
Uduguuuu wangu mwenyewee!! Hapa uko km Kamala Harris.
Nimependa hii Dress ya viwangoo, ni high Classic. .[emoji91][emoji91][emoji91]
Baruzaaaa uduguuu, Baruzaaaa tenaaaa!!! [emoji91][emoji91][emoji91]

Watuuuu weuweeeeeeeeeeee!!!!!!
😹😹😹 Ninavyompenda Kamala sasa 😻
Uduguu umependa dress?
Ungekuwa na mwili km wangu ningekupa.

Kwanza nimekumbuka wewe miss vinjunga 😹😹
 
Khaaaaa..!! [emoji81][emoji81][emoji81]
Ulikaa kwenye kona?
Mi najua tupo na coca tu hapa kumbe wengine mpo? [emoji81]

Sijaolewa lete mahari Ila bi harusi mkorofi utamuweza?? [emoji81][emoji81]
[emoji23][emoji23][emoji23] muambie kabisaa, mahari ni plot iliyoko nchi ya maandishi 3, passport za ukoo mzima hadi mie uduguu, na Tickets za Go n return za Maldives.

[emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji81][emoji81][emoji81] Ninavyompenda Kamala sasa [emoji76]
Uduguu umependa dress?
Ungekuwa na mwili km wangu ningekupa.

Kwanza nimekumbuka wewe miss vinjunga [emoji81][emoji81]
Mie ni vinjunga kwa kwenda mbelee na Trauzaaa. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hakuna mwanamke mkorofi, mbele ya kupendwa, kudekezwa, kulindwa, na kutengezewa mazingira ya amani na furaha kila mda.. [emoji16][emoji16]
Maneno yako yote haya, yalitakiwa yawe kwa neno 1, PESA.
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23] muambie kabisaa, mahari ni plot iliyoko nchi ya maandishi 3, passport za ukoo mzima hadi mie uduguu, na Tickets za Go n return za Maldives.

[emoji23][emoji23][emoji23]
Thubutuuuu..!! 😹😹😹
Yeye mwenyewe huko 🇺🇸 hajafika 😹
 
Mie ni vinjunga kwa kwenda mbelee na Trauzaaa. [emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi ndo nipo kote kote inategemea naamka na mood gani siku hiyo..!! 😹😹😹

Kuna siku naamua nakula kinjunga kinjunga kweli km cha kina beyonce na sitaki ushauri wa mtu..!! 😹😹😹

Kuna pic moja inachekesha siku nitakutumia uone..!!
 
Back
Top Bottom