Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 74,196
- 183,025
Santo sana mkuu!Looking great best , na katoto!!! Hongera
Santo sana mkuu!Looking great best , na katoto!!! Hongera
UmejiachiaAhh wee mi mbona nazeeka !
Weee kumbe!! Ngoja nianze mazoezi sijui ntaweza!!!Umejiachia
Lazima couple ifunge mwaka na ikibidi iwe ya mfano😂Huo wema unao wewe labda me sio mwema hata kdg
Tuonyeshe ulivyozeekaAhh wee mi mbona nazeeka !
[emoji23][emoji23][emoji23] uduguuu.Woyooooooooooooooooooo [emoji2222]
Ariririiiiiiiiiiiiiiiiiiii kiranga afanye jambo niwe manager wa mods wote..!! [emoji81][emoji81][emoji81]
Hatariii woiiih [emoji23][emoji23][emoji23][emoji81][emoji81][emoji81] Dah!
[emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka km mwehuu, khaaahBabuuu [emoji7][emoji7][emoji7]
Li babuu yangu lizuri lizurii lenye maokoto yake na masuria yake..!!
Babu nimechalala nipe mchongo nikupigie pasi kwa nani kibubu changu kijae [emoji81][emoji81][emoji81]
Hamna pisi umeielewa babu?
Ndio mama mtumishiii, malawii tunakimbiaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Looo mnikimbie malawi
Aaaah wapiiii?? [emoji23][emoji23][emoji23]Haya jisnap sasa
Selfika sasa tukuonee. LolHamjamaliza tu kuselfika wakuu[emoji23]
Zamu yangu sasa.
Nimepitwaaaaa?? [emoji24][emoji24][emoji24][emoji76][emoji76][emoji76][emoji76][emoji76] woooww
Edo kama Edo awwwww uko muhanshamu [emoji91][emoji91]
JF ina wakaka wazuri afu wa mwaka wa mbele..!!
Aiseee Edo umeoa?
Mbona km vitu vyangu kabisaa..!! [emoji7][emoji7]
[emoji23][emoji23][emoji23]Demu wako mnafki hajui vitu vizuri..!!
Gentleman km wewe hata kufokewa haitakiwi..!! [emoji81][emoji81]
[emoji23][emoji23][emoji23] em mtag mwenye picha yake, Nina jambo nae plz gran pah.
[emoji23][emoji23][emoji23]Mashine za kupima DNA zikiwa zinaangalia sampuli!!!View attachment 3587236
Once in a lifetime 😂Nimepitwaaaaa?? [emoji24][emoji24][emoji24]