Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji81][emoji81][emoji81] Wamefunguliwa na nini?
Na meno si unaweza kuvunja chupa yenyewe sasa..!!
Jitu zima ukiliona mtaani utasema huyu si ndio bwana, kumbe naye anaulilia afadharii ya cocs, [emoji23][emoji23][emoji23]
Nachokaa mie mwenzenu, kuna kidampa alijichanganya kwa jamaa kuja kustuka kumbe jamaa nae ni mke wa mtu, ko walikoboanaaa.

Nachoka hadi hoi [emoji23][emoji23][emoji23], Dunia ina vituko hii aaaiiii.
 
😹😹😹 Hiyo mumeo ni mke kwa mwanaume mwingine..!!
Hapo tofauti ni ukaaji wa style 😹
 
[emoji81][emoji81][emoji81] Hiyo mumeo ni mke kwa mwanaume mwingine..!!
Hapo tofauti ni ukaaji wa style [emoji81]
[emoji23][emoji23][emoji23] Hapa Duniani kukaa kwa machalee, kukoboana nje nje. Lol
 
IMG_20260511_095347.jpg

Hello Monday 🥂
 
[emoji23][emoji23][emoji23] nikipata ndoa kwa kiranga mbona ntainunua JF.
Woyooooooooooooooooooo 🤸‍♀️
Ariririiiiiiiiiiiiiiiiiiii kiranga afanye jambo niwe manager wa mods wote..!! 😹😹😹
 
Babuuu 😍😍😍
Li babuu yangu lizuri lizurii lenye maokoto yake na masuria yake..!!

Babu nimechalala nipe mchongo nikupigie pasi kwa nani kibubu changu kijae 😹😹😹

Hamna pisi umeielewa babu?
Nina muda mrefu sijaletewa kiko ujue, fanya kumwagiza mmoja aniletee nilipo 😜

Hujambo lakini? Mbona kama mvinyo wa zamani ila chupa mpya

Usiniambie hii ni backup Id yako nyingine baada ya ile 😂
 
Back
Top Bottom