Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 30,097
- 41,713
Mmh salamu sijaipokeaWakati nikiendelea kutafakari nani alikua tapel kati yenu nianze na salamu kwanza
Tumsifu Allah Mkuuš
Ebdelea kutafakariš¤£š¤£š¤£
Mmh salamu sijaipokeaWakati nikiendelea kutafakari nani alikua tapel kati yenu nianze na salamu kwanza
Tumsifu Allah Mkuuš
Aseee yamekua haya tena šššMmh salamu sijaipokea
Ebdelea kutafakariš¤£š¤£š¤£
NdiooAseee yamekua haya tena ššš
Milele Amina mtumishi za masiku mengiNdioo
Tumsifu Yesu kristuš¤£š¤£
Huo wema unao wewe labda me sio mwema hata kdg
Kwakweli Mungu ni mwema nipo salamqMilele Amina mtumishi za masiku mengi
Naelewa hataa ! Hongera mwili kubaki vilevilee Mie likifua natumbo tu ndo vinanichosha hata nguo haikai vizuri kwamwiliNimecheka sanaaa!𤣠Kwani matiti kulala ni mtoto wa ngapi?
Mimi nishaacha kunyonyesha nayaona yapo vilevile
Babake hataki eti bado mdogo ntamkomaza kichwa plus utosi bado unacheza.Mbona umemnyoa mrembo kipara? Fanya abane vidoridori
Labda ukipungua tumbo nalo litapungua.Naelewa hataa ! Hongera mwili kubaki vilevilee Mie likifua natumbo tu ndo vinanichosha hata nguo haikai vizuri kwamwili
Basi usimnyoe mchane tuBabake hataki eti bado mdogo ntamkomaza kichwa plus utosi bado unacheza.
Ngoja nisubiri nione aisee nataka kupungua nibaki naule mwili wangu!Labda ukipungua tumbo nalo litapungua.
Yeah saivi hizi simnyoi tena mwenyewe nataka asuke akitimiza mwakaBasi usimnyoe mchane tu
Wanasema kuzaa sio kuzeekaNgoja nisubiri nione aisee nataka kupungua nibaki naule mwili wangu!
Ahh wee mi mbona nazeeka !Wanasema kuzaa sio kuzeeka