Labella
JF-Expert Member
- Jun 26, 2024
- 3,549
- 7,619
Ngoja nimtume mmoja hivi akuletee kiko babu, huwezi kupata arosto na jukuu lako winga wa kila bidhaa nipo babuu!! 😹😹😹Nina muda mrefu sijaletewa kiko ujue, fanya kumwagiza mmoja aniletee nilipo 😜
Hujambo lakini? Mbona kama mvinyo wa zamani ila chupa mpya
Usiniambie hii ni backup Id yako nyingine baada ya ile 😂
Mi sijambo, umenifurahisha japo umezeeka ila hujawahi kusahau harufu ya mjukuu wako..!! 😹😹😹