Labella
JF-Expert Member
- Jun 26, 2024
- 3,549
- 7,619
😻😻😻😻😻 woooww
Edo kama Edo awwwww uko muhanshamu 🔥🔥
JF ina wakaka wazuri afu wa mwaka wa mbele..!!
Aiseee Edo umeoa?
Mbona km vitu vyangu kabisaa..!! 😍😍
😻😻😻😻😻 woooww
Aghaaa❤️😂😻😻😻😻😻 woooww
Edo kama Edo awwwww uko muhanshamu 🔥🔥
JF ina wakaka wazuri afu wa mwaka wa mbele..!!
Aiseee Edo umeoa?
Mbona km vitu vyangu kabisaa..!! 😍😍
😹😹😹 Ni kugongwa maswali, ukipita kifuatacho ni kuacha bond ya 20M ili ukizamia ujue mpunga wako umeyeya..!!🤣🤣🤣mwanetu ile haina cha kujuana wala nn
Demu wako mnafki hajui vitu vizuri..!!Aghaaa❤️😂
You the first to say this. Au dem wangu mnafiki😂🙌🏾
Ngoja nikuache huku hapafai kukukamia 😂🙌Najaaje mkuu acha zako😂
😂😂Huwezi sio hapafai.Ngoja nikuache huku hapafai kukukamia 😂🙌
Mie mwema 😂🙌😂😂Huwezi sio hapafai.
Au basi kweli hapafai🙌🏾
Screeshot taken💯Demu wako mnafki hajui vitu vizuri..!!
Gentleman km wewe hata kufokewa haitakiwi..!! 😹😹
Nakujua mkuu huo ubinadamu we huna🙌🏾Mie mwema 😂🙌
🤣🤣🤣🤣🤣Niko njema kabisa, sasa naingia kufanya nini humu na wakati mshangazi wangu kuwa active kwa manati na kutumia VPN kuna changia kutoingia mara kwa mara humu.
Huwezi kosa hata ya bahati mbaya 😂
🤣🤣babu wa toleo la gen ZBila wasiwasi mjukuu, bado nipo nje kumngoja mgeni wangu 😁
Shaka ondoaGrahams babu natumai mzigo wangu utampa tayana 😀
Hela wavhukue tu sio case😹😹😹 Ni kugongwa maswali, ukipita kifuatacho ni kuacha bond ya 20M ili ukizamia ujue mpunga wako umeyeya..!!
Tayana bado hajafika?Bila wasiwasi mjukuu, bado nipo nje kumngoja mgeni wangu 😁
Sasa ole wako ulete issue km za korosho mpk leo mmeniachia manyoya..!! 😹😹😹Shaka ondoa
Upo mikono salama🤣🤣
Ndio ujieleze vizuri na uwe na sababu ya kueleweka unaenda kufanya nini huko..!!Hela wavhukue tu sio case
Ila muhim kuondoka malawi🤣🤣🤣