Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Hahaha kwetu wote makapuku mama hutaweza! Elfu 15 kibunda chote hicho? Tambara langu elfu 3 tu🤣
😆 we nipo hivyo hivyo buaaan
U look amazing mama! Kishepu tu🫠
Natoaje hili ngano langu niwe flat hivi🥹
senki yuu ila sivutii kiasi hicho kama unavyo nipamba love😆
ila mbona hata hauna la namna hiyo bwana,
 

Attachments

  • Snapchat-120842434.jpg
    Snapchat-120842434.jpg
    284.9 KB · Views: 6
Usiyempenda kaja, ita kirikuu, ita kibajaji hamisheni viragooooooo..!! [emoji2222][emoji81][emoji81][emoji81]

Mamaeeee haishi mpk iisheee..!!
Fake P tafuta uwanja mpya then nitag huku si wamekuwangia..!! Wapelekee moto kwingine [emoji1787][emoji81][emoji81]

Halafu mke mwenzio anajitapa naye anazo pic za nonino zako ulimtumia CH kasema ukimwaga mboga anamwaga ugali.. watu weeeuweeeeee..!!

Btw kabla sijasahau kuna mtu nimeona kaselfika na top ya buku 3 karume nakupa hi [emoji81][emoji81][emoji81] Mashauzi yaendane na kipato jamani..!!
[emoji23][emoji23][emoji23]
Mahi nawee ulipigwa kufuli, mbona mods wana heka heka hivii.
Kwa kweli mpambano urudiweeeee, urudiweeee.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mbona mabwakuu!! Sekfika ina njegekaa hii, Lol.
 
Ccy kwa sasa subiri subiri kwanza ukiacha kunyonyesha manyonyo yataisha, ila kuhusu tumbo tangawiz na limao kila siku usiku iwe ya moto, na tamarind juice asubuhi kabla ujakula kitu. Mazoez ni magumu ccy
Sawa sis ngoja nisubiri nione. kwa 1st na 2nd born nilibaki namwili wangu uleule huyu sasa🙄!
 
Back
Top Bottom