Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Naangalia kuku wanvyo chokoa chokoa mchele kwenye ardhi.. bona wanakaonea hako katoto Depal.. ila jf ila makulumbembe aiseee.. Msishindane kwenye maisha na watu waliopoteza thamani ya utu wao .
Hakuna anayeshindana na mpumbavu! Tunawaonesha kuwa hakuna anayewaogopa kama wanavyojigamba humu! Huo udhaifu sijajaaliwa! Mshipa wa woga nilikatwa kitambo sana! Siangalii unalinganaje aisee! Nyie mnaojiheshimu mtupishe kidogo tusio na heshima!😈
 
Kwaheli, ila kama wana kapiga hako katoto kweli hao watu ni wabaya sana, inabidi niwachape fimboo.. sasa upo sinza na hutaki kupitia hapa kituo cha polisi mabatini unisalimia afande mkojani 😂😂.. nikupe ubuyu
 
Nakujua kwa umbea, nipo jirani saluni hapa! hujambo utanipigia unimalizie zile habari za buza ni kama za kweli hivi🤭 nilijiuliza sana how comes matajiri yanatoa macho hivi kumbe hakuna cha biashara wala nini🤣
 
😂😂 Habari ni nyingi sanaa na ni verified naweza kukushtua kwa taarifa nzito nzito.. Maliza pendezea uje kituoni hapa, nikupe hot news
 
Ndio mbona watu wanakutana ni issue ya kawaida sijui why JF mna ikuza mnoo hii habari ya kujuana 😀
Naomba na wewe tukutane basi kama ni rahisi na ili tujuane na kufahamiana 😂😂.. Humu Jf kila ID naona kama ya mafwele au TISS tu, siamini kabisa kukutana na mtu wala kuonana aisee
 
Kwa nini unaogopa 😁 usiogope amini tu ila chunga usikutane na kilaza kitakulamba watakufwele kweli
 
Back
Top Bottom