win-one
JF-Expert Member
- May 28, 2024
- 8,911
- 30,259
unakuta na rejesho la simu hamjapeleka😆😆Hutaki kuondoka na hata kijana? Hahaa sawa kaeni library kwanza! Mlotuzidi tuje tuwafokee na simu zetu za mikopo🤣
karibu ugali na fulu😋
unakuta na rejesho la simu hamjapeleka😆😆Hutaki kuondoka na hata kijana? Hahaa sawa kaeni library kwanza! Mlotuzidi tuje tuwafokee na simu zetu za mikopo🤣
Uvumilivu ukikaribia kuisha ataipata haki yake ambayo hakutegemeaHebu wape funzo kwanza! Soko lao lishakuwa gumu ni kuparamia tu kila mtu ilimradi kama vichaa! Mtu anakichaa cha jf mpaka kinamzidia nguvu! Kujizuia haiwezekani kabisa loh!
Hebu acha kunifurahisha! Hujaniona ninavyogombania daladala kama wa stendi😁unakuta na rejesho la simu hamjapeleka😆😆
karibu ugali na fulu😋
mimi hata nguvu ya kujibishana na mtu anae lazimisha ugomvi sina brother d,, atanipotezea muda wakati mim nina mambo mengi ya kufanyaHakuna anayependa kugombana but Kuna watu hulazimisha. Hao wanaolazimisha ndio hupewa haki uao
et ugali na mawashio😆😆😆 umesababisha nimepaliwaHebu acha kunifurahisha! Hujaniona ninavyogombania daladala kama wa stendi😁
Tanzania karibu kila mmoja ana maisha ya kawaida sana! Kwanini kujikweza humu? Hebu sogeza huo ugali na mawashio niupige😂
Utakata moto😅et ugali na mawashio😆😆😆 umesababisha nimepaliwa
Sikai meza moja na matajiri mama niondoe hapo
chanzo utakua ni wew😆 ngoja niandike waraka ili ndugu zangu wasipate tabuUtakata moto😅
saivi kuna Fujo labda usiku wa manane
Hukomi tu na unavaa lonya🤣saivi kuna Fujo labda usiku wa manane
Mimi ni church girl ila haimaanishiWanakuogopa mama’ke!
Mwenyewe sipendi ugomvi ila ukija na kichaa chako cha kukosa bwana huko, tutanyooshana vilivyo! Tajiri ana ma id sita sita kufatilia maisha ya watu ambao hatokaa akawajua! Kazi kweli😅Mimi ni church girl ila haimaanishi
Mtu atoke huko kisakoni na aje
Anipande kicwani Big No
Mtu akija kunichokoza ajue mi mpole mnooo tena sana ila akumbuke siruhusu kupandwa kicwani 🤝
NB : Kuna uoga
kuna kutokua mgomvi
Hivi ni vitu viwili tofauti👍
Ukihisi mtu ana kichaa weka humu🚮🚮Mwenyewe sipendi ugomvi ila ukija na kichaa chako cha kukosa bwana huko, tutanyooshana vilivyo! Tajiri ana ma id sita sita kufatilia maisha ya watu ambao hatokaa akawajua! Kazi kweli😅
mai wangu uwezo wangu ndo ulipo ishia😆😆 siku nikipata pesa nitavaa styl na lonya zote ndo itakua bai baiHukomi tu na unavaa lonya🤣
Natamani nione huyo kalaba anavaaga za wapi😁
Tanzania hii kuna mtu havai used, vimalaya vya low class vinajua kutuhangaisha na fake ids🤣mai wangu uwezo wangu ndo ulipo ishia😆😆 siku nikipata pesa nitavaa styl na lonya zote ndo itakua bai bai
huyo tumuache sikuzote hatuwezi kufanana, as long tunanunua hayo malonya with our own money kwanin tuogope
hivi upo kwanza nipite naked👌💃
Hahaha kwetu wote makapuku mama hutaweza! Elfu 15 kibunda chote hicho? Tambara langu elfu 3 tu🤣ndo nawew ushangae😆😆😆
nipe basi bro ako mmoja labda ataninunulia nguo za bei bei nisiendelee kufedheheka
hii lonya yangu ya bei nilitumiwa kutoka dar na ndugu yangu alininunulia elf 15👌
Bi mzuri mie si selfiki kama ni hivyo😀ndo nawew ushangae😆😆😆
nipe basi bro ako mmoja labda ataninunulia nguo za bei bei nisiendelee kufedheheka
hii lonya yangu ya bei nilitumiwa kutoka dar na ndugu yangu alininunulia elf 15👌
Tumekupoteza mama mchunga!🫢Karibu