Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Usiyempenda kaja, ita kirikuu, ita kibajaji hamisheni viragooooooo..!! 🤸‍♀️😹😹😹

Mamaeeee haishi mpk iisheee..!!
Fake P tafuta uwanja mpya then nitag huku si wamekuwangia..!! Wapelekee moto kwingine 🤣😹😹

Halafu mke mwenzio anajitapa naye anazo pic za nonino zako ulimtumia CH kasema ukimwaga mboga anamwaga ugali.. watu weeeuweeeeee..!!

Btw kabla sijasahau kuna mtu nimeona kaselfika na top ya buku 3 karume nakupa hi 😹😹😹 Mashauzi yaendane na kipato jamani..!!
Wewe mkinga yakitokea maandamano tena sikuokoi maana una hatari si la nchi hii ,nisije kupeleka safe house ukatuchamba wote
 
Usiyempenda kaja, ita kirikuu, ita kibajaji hamisheni viragooooooo..!! 🤸‍♀️😹😹😹

Mamaeeee haishi mpk iisheee..!!
Fake P tafuta uwanja mpya then nitag huku si wamekuwangia..!! Wapelekee moto kwingine 🤣😹😹

Halafu mke mwenzio anajitapa naye anazo pic za nonino zako ulimtumia CH kasema ukimwaga mboga anamwaga ugali.. watu weeeuweeeeee..!!

Btw kabla sijasahau kuna mtu nimeona kaselfika na top ya buku 3 karume nakupa hi 😹😹😹 Mashauzi yaendane na kipato jamani..!!
Pacha una mambo ya kingese 😂😅
 
Gulu child.jpeg
🙌🏿🙌🏿🙌🏿🏃🏿
 
Back
Top Bottom