ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 16,993
- 40,149
Aisee😀Tunataka kuanika vigagulo vya mtumba lol🤣
Aisee😀Tunataka kuanika vigagulo vya mtumba lol🤣
Stress zitawaua watu humu! Hawataki kuzidiwa mahi wetu🤭😁😁 imeniuma kuona ID ambazo hatujuani wala hatufahami kuona zinatukanana.. hivo humu Jf watu huwa mnakutana hadi nje ya utani utani hapa
bona huji sasa nikupe habari 😁Stress zitawaua watu humu! Hawataki kuzidiwa mahi wetu🤭
Mifugo tena? Ulikuwa unaiswaga ndani?🤣niogope nni dihaa😆😆😆 mvua imepiga nikawa busy na mifugo sijapata mda wa kupiga picha mpya
Mimi nado nipo sana mpka saa nane hukoo!bona huji sasa nikupe habari 😁
Nipe location nije basi 😁😁Mimi nado nipo sana mpka saa nane hukoo!
Nipe location nije basi 😁😁
Aloooo 😁😁😁..
Iran vs israeliUzi wa zamani sana naona unatrend kila nikiingia humu.
Hongereni kwa kulisongesha vijana, maana uzi haujawahi kunyamaza huu!
Sijambo, ewe binti . Hii ita nifaa kwa wiki hii 😅Mwaaah
Hamjambo
😁😁 ushapata matumiz nayoSijambo, ewe binti . Hii ita nifaa kwa wiki hii 😅
Each morning and night, I will hold it tight 😅😁😁 ushapata matumiz nayo
Hivi ile pic inayosambaa ni yako depal?Mwaaah
Hamjambo😀View attachment 3579832
Gani? Sijui.. masjara haijaniletea na hata kama ni yenyewe havinihusu 😋Hivi ile pic inayosambaa ni yako depal?
Angalia usizidishe doze 😂Each morning and night, I will hold it tight 😅
Ngoja ntakutumia! U look chwitii😂Gani? Sijui.. masjara haijaniletea na hata kama ni yenyewe havinihusu 😋View attachment 3579844
Humu tu 😂😂💨Ngoja ntakutumia! U look chwitii😂
Njoo kwanza hebuView attachment 3579849
Hebu tujibusti kesho wakeshe wakijadiliana🤣Humu tu 😂😂💨
Not for sale to idiots