Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Sis ephen_ min -me naombeni mbunu za kupunguza kifua na trumbo lauzazi pulllliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiizzzzzzzzz!
Upo vizuri, huna haja...
Sis ephen_ min -me naombeni mbunu za kupunguza kifua na trumbo lauzazi pulllliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiizzzzzzzzz!
Ccy kwa sasa subiri subiri kwanza ukiacha kunyonyesha manyonyo yataisha, ila kuhusu tumbo tangawiz na limao kila siku usiku iwe ya moto, na tamarind juice asubuhi kabla ujakula kitu. Mazoez ni magumu ccy
 
Usiyempenda kaja, ita kirikuu, ita kibajaji hamisheni viragooooooo..!! 🤸‍♀️😹😹😹

Mamaeeee haishi mpk iisheee..!!
Fake P tafuta uwanja mpya then nitag huku si wamekuwangia..!! Wapelekee moto kwingine 🤣😹😹

Halafu mke mwenzio anajitapa naye anazo pic za nonino zako ulimtumia CH kasema ukimwaga mboga anamwaga ugali.. watu weeeuweeeeee..!!

Btw kabla sijasahau kuna mtu nimeona kaselfika na top ya buku 3 karume nakupa hi 😹😹😹 Mashauzi yaendane na kipato jamani..!!
 
Back
Top Bottom