Clkey
JF-Expert Member
- May 29, 2014
- 5,723
- 15,366
Jamani jamani mjengo gani mie nlipenda hao nyani na miti
Ndani ya mjengo wako mama
Ndani ya mjengo wako mama
Mi mdada jamani. Watoto naongelea hawa wa 25 kushuka chini
Hahah haya niambie, nini iko kwa kichwa yako?
Mzee baba ukitoka hapo si unaweza pata korodani zimekuwa kama yai za kuchemsha?[emoji1787][emoji1787]
Poa, Leo location yako inasoma wapi?Nitafanya hivyo bro, mlipa kodi mwenzangu
Wewe ndio hukunielewa then ukafanya kile ulichohisi umekielewa[emoji12][emoji12][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hahah haina shida mkwe...mimi tu mimi tu kuelewesha wewe inapobidi
Watoto bwana!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] woii hivi kwanini under 25 tunaonekana watoto huku JF?? Wakati wengine kila tukifokewa utasikia "muone kule mama mzima unalala hadi saa hii ungekuwa kijijini umri huo umeshaolewa na una watoto wanne" [emoji16][emoji16] halafu unaingia huku JF unakuta mtu anakuita "toto" (nimebana pua [emoji3][emoji3]) khaa!!
[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849] by the way waliozaliwa kuanzia mwaka 2000 na kuendelea ndiyo angalau tunaweza tukawaita watoto
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji123] ningefedheheka sana halafu ungenichora tu. Siku nyingine ukimove uniambie bwana, sema mwandiko huwa haubadiliki sijui kwa nini...
[emoji848][emoji848][emoji57][emoji57][emoji57]Siyo Mimi mkuu ni mdada tu kutoka google
Pamoko team Jf[emoji123][emoji123][emoji123]View attachment 1287736
Watoto bwana!!
Mzima kabisa binamu; sijui wewe na familiaMzima lakini
Wewe ndio hukunielewa then ukafanya kile ulichohisi umekielewa[emoji12][emoji12][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ila bora hukuelewa, nikafaidika[emoji85][emoji85][emoji85]
Uwongo 2 weeJamani jamani mjengo gani mie nlipenda hao nyani na miti
hapa mimi sio bishoo [emoji3][emoji3][emoji3]Bishoooooooooow