Duuuuuh hatari no swimming hapoHapo ni mwanzo
Wee mmama bhanaMi mdada jamani. Watoto naongelea hawa wa 25 kushuka chini
Mkuu una miguu ya chuma 😄😄Mchana na uwe mwema kwenu wakuuView attachment 1287563
Kaka angu ndio ilikuwa zake hiziMchana na uwe mwema kwenu wakuuView attachment 1287563
Siamini hivi inawezekana kweli.
Wee mmama bhana
Kijana wa kimwendokasiView attachment 1287607
Mchana na uwe mwema kwenu wakuuView attachment 1287563
Mchana na uwe mwema kwenu wakuuView attachment 1287563
Kijana wa kimwendokasiView attachment 1287607
Kumbe lugha gonganakwamba ilipotea hewani mkwe?



Hahaha, mkuu mtunane una mambo sana weye. Unajua sikuwa najua hii ID inayoniambia "I'm watching you" ni ipi, nikasema huenda nimepata kitu cha kuzamia huko pm. Kumbe ni my love hahaha!





Guuu banio HawachiMkuu una miguu ya chuma![]()
Hapo pembeni nyama choma huku nikishushia nyagiWanaume wa dar wanadhani unachanganya zege
Sufulia haikuunguzi.Guuu banio Hawachi