Jogoo wa Shamba II
JF-Expert Member
- Jan 14, 2013
- 3,638
- 7,144
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nakaza tu ukiiva ntailoeka kwa majiSufulia haikuunguzi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nakaza tu ukiiva ntailoeka kwa majiSufulia haikuunguzi.
Bora ungeshika na karatasi au nguo halafu hilo jiko la gesi mfano likilipuka moto wote unakimbia kwenye naniii.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nakaza tu ukiiva ntailoeka kwa maji
Haya tena!!!Kijana wa kimwendokasiView attachment 1287607
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji123] ningefedheheka sana halafu ungenichora tu. Siku nyingine ukimove uniambie bwana, sema mwandiko huwa haubadiliki sijui kwa nini...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nitongoze tu tena nikukamate.
Nasikia pale huwa hapaungui""[emoji23][emoji23][emoji23] kuna mafuta mengBora ungeshika na karatasi au nguo halafu hilo jiko la gesi mfano likilipuka moto wote unakimbia kwenye naniii.
Hahahaaa kaka weeTupia basi uutabaruku
Wewe jamaa hebu fanya mpango tukutane siku tulipe kodi. Alafu namba yako sijui nilipotezea wapi.
Ushaanza kuwaza manyanga wewe?
Hahaha wanapatikana darTobaaa asalaleee balaa zito hili
[emoji16][emoji16] hapana
3[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nasikia na wa JF wamo![emoji133]
Hahah haina shida mkwe...mimi tu mimi tu kuelewesha wewe inapobidiKumbe lugha gongana[emoji134][emoji134][emoji134]
Basi ndio maana sikukuelewa.
Mchana na uwe mwema kwenu wakuuView attachment 1287563
Ndani ya mjengo wako mamaNawasalimuuuuuuuView attachment 1287676
Ni kweli hakikaHahaha wanapatikana dar
Hapo pembeni nyama choma huku nikishushia nyagi